Mkuu, embu tutumie akili kidogo tu. Game ya mwisho kupigwa pale kwa Mkapa uliona nini kilitokea na ile mvua? Na umesoma sababu ya CAF kuzuia game kupigwa hapo ni ipi? Ni hali mbaya ya uwanja kipindi cha mvua.Hapa kuna namna nyingiii zinafanyika kumtoa simba mchezoni.
1.Taarifa imetoka siku moja kabla ya mchezo wa kwanza kufanyika.Hapa kuna namna.
2.Kwa mkapa imeonekana kuwa ni tishio sanaaa kwa timu mgeni.Hivyo simba asipatumie.
Simba ipambane game ipigwe kwa mkapa kwa namna yoyote ile.
Hizi ni hujuma za wazi