Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 2,519
- 5,504
Tujitolee kuwaita zimamoto wamwagie maji pitch nzima halafu Simba wafanyie hapo mazoezi kisha piga picha rekodi na video halafu tuma tuoneTazama hali ya sasa Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika katika mechi ya Kombe la Shirikisho Simba SC vs RS Berkane