Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Picha zitumwe kwa CAF. Wanaweza wakabadili mawazo kwa kutumia BUSARA!!Tazama hali ya sasa Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika katika mechi ya Kombe la Shirikisho Simba SC vs RS Berkane