We mzee Wassira, uzee umeshakuxidi kubali tu yaishe.
CAF ndio wasimamizi wa mchezo,wana haki ya kusema wanatumia uwanja gani game ipigwe...Si swala la nchi husika kujipangia uwanja.
Ndo maana CAF walikuja kukagua viwanja vyote kabla ya mechi kujiridhisha na kuona Mkapa hauna hadhi hivo kuhamishia game Amani, Zanzibar! Shida iko wapi?
punzika