Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe alitoa nafasi ya wabunge wa viti maalum 19 kuomba msamaha kwa yaliyotokea kabla ya kupiga kura za kuwafukuzwa uanachama.
Fursa ya kuomba radhi haikutumiwa na yeyote kama alivyokusudia mwenyekiti ambapo kura zilipigwa kuamua kama wabaki au wafukuzwe na wengi wakaridhia wafukuzwe uanachama.