VIDEO: Halima Mdee na wenzake walivyopewa wasaa wa kuomba msahama Baraza Kuu CHADEMA

Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.

Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni

Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Kwani hao unao wasemea hayo si wamepewa nafasi hapo wangesema Mbele ya Baraza kuwa wanaonewa bure lakini wamenyuti kimya wakijua ubunge wao hakutoja CHADEMA na hawana ushahidi wewe kibwetele.
 
Inatakiwa upewe nafasi ufafanue sababu za rufaa, sio uombe msamaha, yaani ufungwe, ukate rufaa mahakama kuu, unafika kwa Jaji anakwambia omba msamaha au tunatoa uamuzi.

Kwanza upewe fursa ufafanue sababu ya rufaa moja baada ya nyingine.

Mbowe aliogopa wangemuumbua, hakuwapa fursa hiyo
 
Kwani walizuiwa kuongea lolote wewe kibwetele hapo ktk mkutano?
 
Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.

Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni

Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Wewe ni mchawi tu..mbona wao wamepewa muda waseme hayo hawajasimama?
Je Mbowe aliwezaje kumtoa Hanje gerezani?
 
Kabla hajatolewa Mbowe aliulizwa, akakubali,hivi hanje unamuona kwenye tv? Ni mtoto kweli, na mwenyekiti anavyopenda chekecha chekecha
 
Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.

Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni

Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Mimi ndio hapo ninapowashangaa. Unadhani Ndugai au NEC wangekuwa na barua za utambulisho kutoka kwa Mbowe au Mnyika au hata mlinzi wao angeacha kuziweka wazi kwa jinsi anavyowachukia hao watu? Na hata kama hiyo video clip ipo, unataka kutuambia NEC na Ndugai walifanya maamuzi yao kutokana na clip bila kudai maandishi? Au walimwamini sana Halima kiasi cha kuvunja taratibu zilizokuwepo kwa sababu tu amesema Mbowe na Mnyika wamebariki wao kuapishwa? Na bado angekalia tu ushahidi huo wa undumilakuwili wa watu anaowachukia? Mbona mnatufanya wajinga sana?

Amandla...
 
Kabla hajatolewa Mbowe aliulizwa, akakubali,hivi hanje unamuona kwenye tv? Ni mtoto kweli, na mwenyekiti anavyopenda chekecha chekecha
Wewe pimbi Kama Mbowe ndie alie amrisha hao wapewe ubunge na akawa na nguvu hadi ya kuwatoa mahabusu usiku magereza inaonekana mnaheshimu sana maamuzi ya Mbowe, kwa nini sasa hamtaki maamuzi yake ya kuwafuta uanachama?
 
Kabla hajatolewa Mbowe aliulizwa, akakubali,hivi hanje unamuona kwenye tv? Ni mtoto kweli, na mwenyekiti anavyopenda chekecha chekecha
Kwa hiyo vidosho vilivypewa fursa na Jiwe vyote alivitafuna?
 
Tz hakuna chama pinzani
UPINZANI wa matakwa na mahitaji yenu HAUHITAJIKI
1.Hairuhusiwi kukosoa wala kushauri chochote
2.Hotuba ya upinzani bungeni iandaliwe na wanaokosolewa.
3.Muda wote ni kuimba mapambio na kutajataja majina yote ya MKUU.
 
Sounds like Mbowe ashawahukumu tayari. Utasemaje wajumbe walikuwa huru kupiga kura za wazi kwa dhamira zao wenyewe? Huu ndio uhuni sasa.
 
Yaani mwenyekiti wa kamati kuu alipata muda wa kuliconvince baraza kuu lipige kura kwa muelekeo fulani lakini madada hawakupata muda kama huohuo wa kueleza positions zao!.
Hapo hakuna haki hapo
 
Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.

Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni

Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Above all stupidity ... na kina Nusrat Hanje na wao walikwenda kutolewa gerezani na Mbowe na Mnyika si ndio !!!???

Akisha toa clip za jinsi Mbowe na Mnyika alivyowashawishi wakaapishwe, atoe na clip za jinsi Mbowe na Mnyika walivyowatoa kina Nusrat gerezani masaa machache kabla ya kuapishwa

We jamaa ni mpumbavu akili huna Mxieussszzzz!!!
 
Kwa jinsi alivyokuwa anawabembeleza kuna kitu nyuma ya pazia kitakacho msubua sana Mbowe!! Asipotumia busara na kumpisha mwingine kuongoza chama muda si mrefu atapata aibu na hata kuwa na heshima tena kama kiongozi!! THE WRITTING IS ON THE WALL HE SHOULD READ AND UNDERSTAND.
Dah,

Una maana mzizi uliowashinda CCM yote, Kichaa Magufuli, sasa utang'olewa na mwenye macho lembuka?

Ninayo hofu kubwa juu ya CHADEMA safari hii.

Kweli watapona?

Huyu kaja na 'strategy' yake tofauti kabisa, lakini mkakati ulio 'effective' kwelikweli kuisambaratisha CHADEMA.

Sidhani kuwa hata Mbowe mwenyewe, hata akikubali kuondoka anao uwezo wa kuzuia hiki chama kisisambaratike kwa kushindwa kuhimili hizi mbinu mpya zinazobuniwa toka kwa mahasimu wao wakuu.
 
Halima Mdee kashalishwa uhuni na maCCM, Esther Bulaya kamharibu Mdee yule original.

Hivi Mdee nafsi haimsuti uhuni aliofanyiwa Kawe akakamata kabisa na mabegi ya kura fake za wizi leo anaungana na maCCM?!!

Halima huyu huyu aliekua mkali sana kwa wasaliti kama Dr Mashhinji hadi akawa hataki hata salamu take leo Hakika ndio muongoza usaliti?!!
Inashangaza kwa kweli, na haieleweki ni nini hasa kilitokea ghafla namna ile hadi kumharibu akili zote vile huyu binti.

Kuna jambo, na nadhani Mbowe analifahamu vyema, lakini hawezi kulizungumzia.
 
Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.

Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni

Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Weka ushahidi , kapuku wee !!
 
Kwa jinsi alivyokuwa anawabembeleza kuna kitu nyuma ya pazia kitakacho msubua sana Mbowe!! Asipotumia busara na kumpisha mwingine kuongoza chama muda si mrefu atapata aibu na hata kuwa na heshima tena kama kiongozi!! THE WRITTING IS ON THE WALL HE SHOULD READ AND UNDERSTAND.
Kitu Gani? yeye kasema aliwabembeleza sababu anatambua mchango wao kujenga chama.

Alidondoka zitto na Dr.Slaa ila hakupata aibu ndio sembuse mabinti hao?? Get serious
 
Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.

Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni

Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Acha uduwanzi weye!Weye uliyeandika hayo ndiyo ulete ushahidi.
 
Inashangaza kwa kweli, na haieleweki ni nini hasa kilitokea ghafla namna ile hadi kumharibu akili zote vile huyu binti.

Kuna jambo, na nadhani Mbowe analifahamu vyema, lakini hawezi kulizungumzia.
Jambo lipi? Sheria zipo clear mbona Mbowe Hana mamlaka ni Mnyika pekee so wawe na baraka ya Mbowe or whatever maadam hakuna minutes ya kikao Cha Kamati kuu Wala Mnyika hakutoa fomu za NEC kwa kina Mdee then kisheria wao sio halali.
 
Back
Top Bottom