Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
yaani ili mtu akaapishwe anapaswa kushawishiwa? how?Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.
Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni
Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika