chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ushahidi utaletwa,kumuua Kobe timing, hii inaenda kuua Chadema yoteAcha uduwanzi weye!Weye uliyeandika hayo ndiyo ulete ushahidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi utaletwa,kumuua Kobe timing, hii inaenda kuua Chadema yoteAcha uduwanzi weye!Weye uliyeandika hayo ndiyo ulete ushahidi.
Lakini sote tunaona jinsi sheria ndani ya nchi hii zisivyokuwa na maana yoyote wakati siasa ndiyo inayotawala.Jambo lipi? Sheria zipo clear mbona Mbowe Hana mamlaka ni Mnyika pekee so wawe na baraka ya Mbowe or whatever maadam hakuna minutes ya kikao Cha Kamati kuu Wala Mnyika hakutoa fomu za NEC kwa kina Mdee then kisheria wao sio halali.
Waliitwa kuja Kamati kuu wakagoma kisa usalama wao!! So wakatimuliwa bila kujitetea.Labda wadau wanisahihishe ..hivi kuomba msamaha ni kusikilizwa?na hizi kstiba zetu ziangaliwe upya maana zinaenda kinyume na katiba ya nchi na msimamo wa chama wa kulinda haki ya mtu binafsi.
SASA WAOMBE MSAMAHA KWA KOSA GANI WALILOFANYA?UDHALILISHAJI HUOView attachment 2230653
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe alitoa nafasi ya wabunge wa viti maalum 19 kuomba msamaha kwa yaliyotokea kabla ya kupiga kura za kuwafukuzwa uanachama.
Fursa ya kuomba radhi haikutumiwa na yeyote kama alivyokusudia mwenyekiti ambapo kura zilipigwa kuamua kama wabaki au wafukuzwe na wengi wakaridhia wafukuzwe uanachama.
Nusrat ilikuaje akatoka usiku na kesho akaapishwa? Hizo fomu za ubunge alijaza akiwa gerezani? Ama Mbowe ndio alienda kumtoa Ili specifically akaape???Bado ninaamini kuna siri nzito baina ya Mbowe, Mnyika na hao kina Halima kuhusu ubunge wao. Kinachofanyika ni kiini macho tu kuaminisha umma kuwa Uongozi wa Chadema hauhusiki.
Hawa walitengeneza mazingira ya kuwaruhusu lakini kwa njia yakuonekana kuwa wamekwenda kinyemela. Hata hizi sarakasi za kwenda Mahakamani walishajua kitakachofuatia. Na mwisho kabisa hawa wataendelea na Ubunge hadi 2025.
Mbowe anajua fika Chadema haiwezi kuchukua nchi kwahiyo hawezi kukubali eti watu wakose fedha za ubunge wakati wameshakisotea sana Chama. MBOWE NI MASTER MINDER
Kwani hizo fomu zinachukua masaa mangapi kuzijaza?Nusrat ilikuaje akatoka usiku na kesho akaapishwa? Hizo fomu za ubunge alijaza akiwa gerezani? Ama Mbowe ndio alienda kumtoa Ili specifically akaape???
Anyway kwanini Mbowe awapeleke kuapa kwa njia za panya ilihali angeamua kwa njia ya kawaida hakuna ambaye angempinga!!! Mbona alimleta Lowassa kweupe kabisa, mbona alitaka maridhiano na JPM kweupe kabisa? Leo hii ashindwe kufanya maamuzi ya kupeleka wabunge wakati angeitisha press conference moja tu wanachama tungemuelewa!!
Tafuteni reason ingine ila hii haiingii akilini
Mema gani wamefanya hao? Kama labda wamemfanyia mwenyewe aseme.View attachment 2230653
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe alitoa nafasi ya wabunge wa viti maalum 19 kuomba msamaha kwa yaliyotokea kabla ya kupiga kura za kuwafukuzwa uanachama.
Fursa ya kuomba radhi haikutumiwa na yeyote kama alivyokusudia mwenyekiti ambapo kura zilipigwa kuamua kama wabaki au wafukuzwe na wengi wakaridhia wafukuzwe uanachama.
Kinembe UONGO utakupeleka wapi?Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.
Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni
Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Am cryin ooooh
Mh. Halima Mdee aliishatwambia ya kwamba kilichotokea kwenye Mkutano wa Baraza Kuu ni uhuni. Mimi nasimama na Mh. Halima Mdee.View attachment 2230653
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe alitoa nafasi ya wabunge wa viti maalum 19 kuomba msamaha kwa yaliyotokea kabla ya kupiga kura za kuwafukuzwa uanachama.
Fursa ya kuomba radhi haikutumiwa na yeyote kama alivyokusudia mwenyekiti ambapo kura zilipigwa kuamua kama wabaki au wafukuzwe na wengi wakaridhia wafukuzwe uanachama.
Barua mpaka za serikali ya mtaa aliipata wapi Nusrat? Fomu za wadhamini alizijaza saangapi na kina nani walimdhamini? Muhuri wa Mnyika aliipata wapi na ofisi zipo Dar?Kwani hizo fomu zinachukua masaa mangapi kuzijaza?
Simama naye ila nakuhakikishia 2025 atakua kama Juliana Shonza tu irrelevantMh. Halima Mdee aliishatwambia ya kwamba kilichotokea kwenye Mkutano wa Baraza Kuu ni uhuni. Mimi nasimama na Mh. Halima Mdee.
Halima Mdee haitaji sympathy kutoka kwa yeyote. Alijijenga hadi akafika hapo na ana uwezo wa kujisimamia baada ya maisha ndani ya Chadema. Swali la wewe kujiuliza, unajisimamia?Simama naye ila nakuhakikishia 2025 atakua kama Juliana Shonza tu irrelevant
Mfa maji hakosi kutapatapa. Imekwisha hiyo.Halima alisema Mbowe kafanya uhuni lakini imedhihirika nani ni mhuni.
Achana na maccm. Hayaelewi kitu.Mtu mwongo utamjua tu maana hatunzi kumbukumbu. Kauli yako hii inathibitisha uongo wako...
Unasema;
✓ "Mbowe anawabembeleza COVID-19 wakaapishwe"
✓ Halafu Mbowe huyo huyo anawakikishia kuja kuwapa barua za utambulisho baada ya kuapishwa..!
Looh, what a coincidence is this that leads to a big lie 🤥🤥🤥🤥!
Wewe ni MWONGO. Hujui lolote...!