Kwani hao unao wasemea hayo si wamepewa nafasi hapo wangesema Mbele ya Baraza kuwa wanaonewa bure lakini wamenyuti kimya wakijua ubunge wao hakutoja CHADEMA na hawana ushahidi wewe kibwetele.Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.
Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni
Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Inatakiwa upewe nafasi ufafanue sababu za rufaa, sio uombe msamaha, yaani ufungwe, ukate rufaa mahakama kuu, unafika kwa Jaji anakwambia omba msamaha au tunatoa uamuzi.Kwani hao unao wasemea hayo si wamepewa nafasi hapo wangesema Mbele ya Baraza kuwa wanaonewa bure lakini wamenyuti kimya wakijua ubunge wao hakutoja CHADEMA na hawana ushahidi wewe kibwetele.
Kwani walizuiwa kuongea lolote wewe kibwetele hapo ktk mkutano?Inatakiwa upewe nafasi ufafanue sababu za rufaa, sio uombe msamaha, yaani ufungwe, ukate rufaa mahakama kuu, unafika kwa Jaji anakwambia omba msamaha au tunatoa uamuzi.
Kwanza upewe fursa ufafanue sababu ya rufaa moja baada ya nyingine.
Mbowe aliogopa wangemuumbua, hakuwapa fursa hiyo
Wewe ni mchawi tu..mbona wao wamepewa muda waseme hayo hawajasimama?Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.
Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni
Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Kabla hajatolewa Mbowe aliulizwa, akakubali,hivi hanje unamuona kwenye tv? Ni mtoto kweli, na mwenyekiti anavyopenda chekecha chekechaWewe ni mchawi tu..mbona wao wamepewa muda waseme hayo hawajasimama?
Je Mbowe aliwezaje kumtoa Hanje gerezani?
Mimi ndio hapo ninapowashangaa. Unadhani Ndugai au NEC wangekuwa na barua za utambulisho kutoka kwa Mbowe au Mnyika au hata mlinzi wao angeacha kuziweka wazi kwa jinsi anavyowachukia hao watu? Na hata kama hiyo video clip ipo, unataka kutuambia NEC na Ndugai walifanya maamuzi yao kutokana na clip bila kudai maandishi? Au walimwamini sana Halima kiasi cha kuvunja taratibu zilizokuwepo kwa sababu tu amesema Mbowe na Mnyika wamebariki wao kuapishwa? Na bado angekalia tu ushahidi huo wa undumilakuwili wa watu anaowachukia? Mbona mnatufanya wajinga sana?Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.
Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni
Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Wewe pimbi Kama Mbowe ndie alie amrisha hao wapewe ubunge na akawa na nguvu hadi ya kuwatoa mahabusu usiku magereza inaonekana mnaheshimu sana maamuzi ya Mbowe, kwa nini sasa hamtaki maamuzi yake ya kuwafuta uanachama?Kabla hajatolewa Mbowe aliulizwa, akakubali,hivi hanje unamuona kwenye tv? Ni mtoto kweli, na mwenyekiti anavyopenda chekecha chekecha
Kwa hiyo vidosho vilivypewa fursa na Jiwe vyote alivitafuna?Kabla hajatolewa Mbowe aliulizwa, akakubali,hivi hanje unamuona kwenye tv? Ni mtoto kweli, na mwenyekiti anavyopenda chekecha chekecha
UPINZANI wa matakwa na mahitaji yenu HAUHITAJIKITz hakuna chama pinzani
Above all stupidity ... na kina Nusrat Hanje na wao walikwenda kutolewa gerezani na Mbowe na Mnyika si ndio !!!???Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.
Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni
Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Dah,Kwa jinsi alivyokuwa anawabembeleza kuna kitu nyuma ya pazia kitakacho msubua sana Mbowe!! Asipotumia busara na kumpisha mwingine kuongoza chama muda si mrefu atapata aibu na hata kuwa na heshima tena kama kiongozi!! THE WRITTING IS ON THE WALL HE SHOULD READ AND UNDERSTAND.
Inashangaza kwa kweli, na haieleweki ni nini hasa kilitokea ghafla namna ile hadi kumharibu akili zote vile huyu binti.Halima Mdee kashalishwa uhuni na maCCM, Esther Bulaya kamharibu Mdee yule original.
Hivi Mdee nafsi haimsuti uhuni aliofanyiwa Kawe akakamata kabisa na mabegi ya kura fake za wizi leo anaungana na maCCM?!!
Halima huyu huyu aliekua mkali sana kwa wasaliti kama Dr Mashhinji hadi akawa hataki hata salamu take leo Hakika ndio muongoza usaliti?!!
Weka ushahidi , kapuku wee !!Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.
Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni
Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Hizo ni propaganda! Book 7 kazini hakuna video wala nnVideo please
Kitu Gani? yeye kasema aliwabembeleza sababu anatambua mchango wao kujenga chama.Kwa jinsi alivyokuwa anawabembeleza kuna kitu nyuma ya pazia kitakacho msubua sana Mbowe!! Asipotumia busara na kumpisha mwingine kuongoza chama muda si mrefu atapata aibu na hata kuwa na heshima tena kama kiongozi!! THE WRITTING IS ON THE WALL HE SHOULD READ AND UNDERSTAND.
Acha uduwanzi weye!Weye uliyeandika hayo ndiyo ulete ushahidi.Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.
Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni
Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Jambo lipi? Sheria zipo clear mbona Mbowe Hana mamlaka ni Mnyika pekee so wawe na baraka ya Mbowe or whatever maadam hakuna minutes ya kikao Cha Kamati kuu Wala Mnyika hakutoa fomu za NEC kwa kina Mdee then kisheria wao sio halali.Inashangaza kwa kweli, na haieleweki ni nini hasa kilitokea ghafla namna ile hadi kumharibu akili zote vile huyu binti.
Kuna jambo, na nadhani Mbowe analifahamu vyema, lakini hawezi kulizungumzia.