Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
yaani ili mtu akaapishwe anapaswa kushawishiwa? how?Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.
Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni
Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Ndivyo hali ilivyokuwa, Mbwawe akiwashawishi mwenyewe, kaona mambo magumu anawageuka.yaani ili mtu akaapishwe anapaswa kushawishiwa? how?
Kwani anaishi huko kwa gharama zako, wewe dada mbona hata huko ccm pia kuna wanaume au una tatizo gani.Lissu naye amekuwa mlevi wa kupindukia huko ubeleji.
Naona imeloanaKwani anaishi huko kwa gharama zako, wewe dada mbona hata huko ccm pia kuna wanaume au una tatizo gani.
Alikua groomed.... Akafundishwa siasa. Alikua hata Hana confidence ila alipikwa akawa anajiamini hadi kubeba JimboKwahiyo Mbowe alimbeba tu na kumpa Ubunge wa Viti Maalumu akiwa hana potential yoyote? Na Chadema wakampa Uwenyekiti wa BAWATA akiwa hana potential yoyote? Basi sawa!
Dr.slaa, Mashinji, na zitto walipoondoka mlisema hivo hivo ila mpaka Leo kimyaaaa. Mbowe is better than you think otherwise CHADEMA ingekufa kma CUF au NCCRKati ya hao wanawake wanajua mambo mengi sana ya Mbowe kiasi kwamba wakifunguka ndio utakuwa mwisho wake kwa aibu; ndio maana watu wanaomtakia mema wanamshauri kuwa afadhali achutame ili ajisitiri!!
Unaweza kuta ccm walipigia hesabu udhaifu wa mdee kwa wanawake wenzie wakaamua kumtuma Bulaya ajifanye kutoka ccm ili wawe wapenz kisha siku kama hii ilipofika mzee Mdee chalii alishamalzwa siku nyiiingi kwa utamu wa sukari ya BulayaHalima Mdee kashalishwa uhuni na maCCM, Esther Bulaya kamharibu Mdee yule original.
Hivi Mdee nafsi haimsuti uhuni aliofanyiwa Kawe akakamata kabisa na mabegi ya kura fake za wizi leo anaungana na maCCM?!!
Halima huyu huyu aliekua mkali sana kwa wasaliti kama Dr Mashhinji hadi akawa hataki hata salamu take leo Hakika ndio muongoza usaliti?!!
Kusuguana mbunye unadhani kutaiacha afya ya akil salama??kasagwa mpaka akili zimemuishia kawa bogus kabisaaInashangaza kwa kweli, na haieleweki ni nini hasa kilitokea ghafla namna ile hadi kumharibu akili zote vile huyu binti.
Kuna jambo, na nadhani Mbowe analifahamu vyema, lakini hawezi kulizungumzia.
Mimi nina hofu tofauti kabisa na huyo uliyemjibu hapo juu ya Mbowe safari hii kutoweza himiri dhoruba itakayoikumba CHADEMA.Dr.slaa, Mashinji, na zitto walipoondoka mlisema hivo hivo ila mpaka Leo kimyaaaa. Mbowe is better than you think otherwise CHADEMA ingekufa kma CUF au NCCR
Can an imbecile like you be groomed and become like Halima Mdee or Zitto Kabwe. If yes, why aren't you like them?Alikua groomed.... Akafundishwa siasa. Alikua hata Hana confidence ila alipikwa akawa anajiamini hadi kubeba Jimbo
Sio huyo tu yupo Matiko,Kishoa, Zubeilda (Hyu alifuatwa Mzumbe) na Shonza walikua nothing wakapikwa hadi wakawa wabunge then Leo hii unasema nni wwe?
Tatizo watu wakishapata majina mnadhani walifika hapo kwa juhudi zao pekee. Kma Mbowe angekua mkabila au dikteta angejihangaisha kuwajenga hao mabinti?
I'm not a politician but I'm an academician. I was groomed by other experts such as Dr. Teddy to be an expert in research & management.Can an imbecile like you be groomed and become like Halima Mdee or Zitto Kabwe. If yes, why aren't you like them?
This is JF. Everybody is someone! Ahahahahaha!I'm not a politician but I'm an academician. I was groomed by other experts such as Dr. Teddy to be an expert in research & management.
From division 4 back in O level to 1st Class Masters Degree from UDBS, then be sure any embicile can be groomed in his/her own discpline and make it to the top.
Ndio hivyo, ukubali ukatae it's up to you lakini credibility yangu humu JF na nje is unquestionable unless umenijua Leo.This is JF. Everybody is someone! Ahahahahaha!
Eti unquestionable! Sawa. Mi mwenzio ni Mtanzania pekee ninayefanya kazi White House! Utaniweza wapo! Ahahahahaha!!!Ndio hivyo, ukubali ukatae it's up to you lakini credibility yangu humu JF na nje is unquestionable unless umenijua Leo.
chinembe kwetu ni ki 👉💄Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.
Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni
Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika