Video: Hamas akimshambulia mwanajeshi. Je, ni sahihi mwanajeshi kutumia bunduki dhidi ya kisu?

Mhamas katoa kisu kamchoma shingoni ili amuue kisha akaendelea kumchoma tumboni kabla Mfda haja mpeleka chini
Kisha Mhamasi kainuka na kisu chake ili ammalize kabisa Mfda..... ulitegemea nini mkuu?

Au unadhani ni bongo movie hiyo?
That’s the matter of death motherfanta
 
Sote tuseme allahukubaru!!
 
Ila asilimia kubwa ya raia wa Israel wamelegea sana yaani mtu mmoja ana kisu wameshindwa kumkabili wanakimbia kweli? Na ukiangalia mtu mwenyewe wa kawaida mno wamekazania kuandamana tu bila kujua kwamba hiyo amani ya kuandamana nchini mwao imepatikana kwa kazi kubwa kule Gaza.
 
Jamaa kana maswali ya kipuuzi sana mkuu. Mtu anakuja kukuua utacheka naye?. Hapo angekufa askari angekuja na mada askari mdebwedo akilisifia gaidi. Afande kamuwaisha kwenye bikira 72 chapu
 
Kuna watu mambo madogo kama hayo wanashindwa kufikilia.
yaan kichwani hamna kitu..
mambo madogo kama hayo mtu anashindwa ku reson hapo
 
Nini kimekufanya uwe na uhakika ni mtu wa kawaida tu? Mwili au ?
Raia ana uhakika gani kama jamaa hana siraha?
Vipi kama angekuwa na bomu?
Huyo aliemkandamizia hapo chini ni mmasai?
 
Safi sana. Sugu aliimba "Dawa ya jeuri ni kiburi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…