Hata mimi nashangaa.Huo ndo ukweli japokuwa wapo wanaolazimisha kuingiza Udini kwenye mgogoro huo.
Ndio hivyo tukienda kule tunalenga haswa hatunaga utani ukituletea na Sisi tunakupelekeaMalizia kwa kusema ndo maana tunaenda range mara kwa mara na kila anaeenda range anajitahidi alenge bull.
Dah! Hao mabikra 72 kuwapata ni gharama kweli-kweli. Vp haiwezekani Majamaa(Vidume) wakapunguziwa gharama? 😀Hapo jamaa alikuwa ana-shout alahu akibaru alahu akibaru akijua ameshafunga hesabu mapema saa nne asubuhi za kwenda kupokea bikra zake 72 zenye macho makubwa kama vikombe.
Ni ukweli usiopingika kwamba wapo watu ni myopic kwenye issues za kimataifa. Likitokea jambo utawasikia e.g. ni Mazayuni, ni Upinde, kazi ya wavaa kobazi. ni mbinu ya USA (Westernes) n.k. n.k.Hata mimi nashangaa.
Suala la Palestina na Israel mtu anaingizia udini kiasi kusema kama uislam usingekuwepo dunia ingekua salama.
Ndio maana nikamuuliza mjinga mmoja hapo juu vita za dunia,biashara ya utumwa ya mabara matatu,vita za kupindua utawala,ukoloni,mapigano ya mgawanyo wa Afrika je hayo yote yamesababishwa na uislam!?
Mpaka sasa hajajibu na kakimbia.
Kuna wakristu kibao wanauawa na IDF tena waanglican ila hilo wao hawalioni wanakimbilia udini.
Kamtia kisu kimetokea mpaka nyuma upande wa kushoto hujaona anavuja damu hata hio bastola ilikua inamshinda kuikoki sababu ni hio hata kuishika ilikua kazi ukiangalia video ya kwanza utamuona pale alipoangushwa chini kachomwa kisu upande wa KUSHOTO damu zinachuruzika km majiangeanzia kwenye mbavu saizi tunaongea mengine.
Tunafundishwa kuwajari civilian ndio maana Jamaa akawaambia wamachie huyo adui awe peke yake ili asije akawawesha na civilian risasi za vichwa adui kaambiwa aweke silaha chini hajatii AMRI kajipeleka kamwesha risasi 2 tu sio nyingi zinamtosha kumkatisha pumzi halafu baada ya hapo yeye huyoo kawahi hospital kwenda kushona Jeraha la bisu alilopigwa na aduiYes exactly. Under field conditions; first come first saved. Tumia ulichonacho mkononi wakati huo. Usimkawize -hakuna mjadala.
Mkuu upo sawa kabisa hii vita ni vita vya kupigania mipaka na ukandamizaji unao fanywa na wa Israel dhidi ya wa Palestine ambao obviously ni kama watu wasio na nchi ukiangalia Geographical Gaza strip na west bank zimekua Kama nchi mbili tofauti ambazo zote zinasimama as PalestineHata mimi nashangaa.
Suala la Palestina na Israel mtu anaingizia udini kiasi kusema kama uislam usingekuwepo dunia ingekua salama.
Ndio maana nikamuuliza mjinga mmoja hapo juu vita za dunia,biashara ya utumwa ya mabara matatu,vita za kupindua utawala,ukoloni,mapigano ya mgawanyo wa Afrika je hayo yote yamesababishwa na uislam!?
Mpaka sasa hajajibu na kakimbia.
Kuna wakristu kibao wanauawa na IDF tena waanglican ila hilo wao hawalioni wanakimbilia udini.
Dini inatumika ku boycott tu hizo conflict ila kiuhalisia dini haihusiki.Mkuu upo sawa kabisa hii vita ni vita vya kupigania mipaka na ukandamizaji unao fanywa na wa Israel dhidi ya wa Palestine ambao obviously ni kama watu wasio na nchi ukiangalia Geographical Gaza strip na west bank zimekua Kama nchi mbili tofauti ambazo zote zinasimama as Palestine
but huwezi kupuuza swala la dini kwenye hii vita ni kitu kinacho waunganisha to fight their common enemy dini apo middle East is like adding gasoline in firewood
Hatuwezi kujidanganya Ina Play part zaidi ya asilimia 70Dini inatumika ku boycott tu hizo conflict ila kiuhalisia dini haihusiki.
Si kweli mzee.Hatuwezi kujidanganya Ina Play part zaidi ya asilimia 70
kill nonbeliever
Holy war
Jihad
Na maneno mengi yote yana stand kwa ajili ya dini na sio ardhi Ndio maana hata humu Jf watu wame choose sides kutokana na dini (bad thing hata wewe 😂)
Inashangaza kuona MTU anafurahia watoto wadogo kina Mama apo Gaza wanauwa Lakini chanzo ni nn Dini
Inashangaza MTU kuona anashangilia Hamas walivyo ua na kuteka mpaka vitoto vya 5 years old yooote ni kwa nini Kwa sababu ya dini
Religion is like opium to madman dini is like Cancer
Hiyo ni dunia ya watu wasiostaraabika enzi hizo saivi wamestarabika mengi ya matukio wameacha. Waislamu ndio wamebaki na hizo vuruguHata mimi nashangaa.
Suala la Palestina na Israel mtu anaingizia udini kiasi kusema kama uislam usingekuwepo dunia ingekua salama.
Ndio maana nikamuuliza mjinga mmoja hapo juu vita za dunia,biashara ya utumwa ya mabara matatu,vita za kupindua utawala,ukoloni,mapigano ya mgawanyo wa Afrika je hayo yote yamesababishwa na uislam!?
Mpaka sasa hajajibu na kakimbia.
Kuna wakristu kibao wanauawa na IDF tena waanglican ila hilo wao hawalioni wanakimbilia udini.
Basi pole sana.Hiyo ni dunia ya watu wasiostaraabika enzi hizo saivi wamestarabika mengi ya matukio wameacha. Waislamu ndio wamebaki na hizo vurugu
Wapo wengi magerezani wa kutoa hizo taarifa muhimu huyo psychopath alistahili kuwaishwa aheraKuna mantiki sana kwenye swali lako sema wengi wanakukejeli tu bila kuelewa!
Kuna jamaa alishamdhibiti vizuri huyo mwenye kisu na kabla hajafanikiwa kumpora kisu akaghairi alipoona afande kaelekeza "changamoto."
Kwanini askari asisaidiane na huyo raia mwema kumkamata huyo jamaa ili wakamuhoji zaidi? Ona sasa huwenda kapoteza taarifa muhimu kabisa ambazo alipaswa kuzichukua kutoka kwake
Lakini mimi naomba kujua je kila anayevamia askari kwenye hiyo nchi na kumshambulia ni gaidi wa hamas, au chanzo chako ulipoipata hiyo video ndo wamesema hicho ulichoandika?
Taratibu mnamu yale ni mawazo yangu kama mchangia madamnataka nyinyi muue ila msiuliwe bali mdhibitiwe , shenz kabisa wauaji wakubwa nyiny , hakuna wa kuwatunza hapa duniani
Huna akili.Ushapuyanga.
Hamas ndio ideology ya kupiga Israel insurgence ila huyo kakusudia Hamas Al qassam fighter.
Kwahiyo wataka kusema kila mwenye ideology ya kupinga utawala wa Uingereza kisa ni Mkenya naye ni MAU MAU FIGHTER!?
Jinga kabisa.
Ooh unajisema wewe?Huna akili.