Mayahudi kwani si walikua wanawaua wapelestina au huoni hayo?Kwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
Wewe muongo na mnafiki. Wapigwe shindano wawe na furaha vile? Halafu huo uongo kwenu inaonekana ni jadiKwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
Wao Wapelestin hawajaua Wayahudi!Mayahudi kwani si walikua wanawaua wapelestina au huoni hayo?
Nani alivamia nchi ya watu?Wao Wapelestin hawajaua Wayahudi!
Na hatawarudi ktk vitaHii inamaanishwa IDF wamefeli
Ulialishwa maneno na fikra kwamba makatili .sisi wenye akili tukapinga Dhana hioSwali langu ni je,ukiletewa ndugu yako amebebwa wakati alitoka kwako akitembea utakenua meno kwa kusema aliyembeba ana roho nzuri au utajiuliza maswali ya nini kimempata?
kama utafurahia kuona amebewa,basi tukubali tunatofautiana mitizamo.
Na hivyo nikutakie mchana mwema.
Kama ni Uongo twambie fact zako.Wewe muongo na mnafiki. Wapigwe shindano wawe na furaha vile? Halafu huo uongo kwenu inaonekana ni jadi
Mzee 87 ananguvu? Bibi yako yupo kitandani hajiweziKama ni Uongo twambie fact zako.
Kwanini hawana nguvu kiasi cha kubebwa? JF tunabishana kwa hoja siyo viroja mkuuu.
Vita inapaswa kuwa kati ya Jeshi na Jeshi siyo Jeshi dhidi ya raia, vitendo vya utekaji nyara wa raia ili kuwafanya ngao ya vita kamwe havikubalikiUkweli daimag huwa kweli. Ndio maana mayahudi walikuwa hawataki kabisa mateka wao kuachiwa kukimbia aibu
Hamas wakati wanaachia mateka walikuwa wakiwabeba na kuwapandisha ktk magari kwa huruma kubwa wakiwaonyesha
MOD. UZI HUU UACHE USIUDELETE AU KUHAMISHA
View attachment 2824085
View attachment 2824079
View attachment 2824076
View: https://x.com/WarMonitors/status/1728138878597410816?s=20
Hamas ni watu wema tofauti mnavolishwa matango pori makanisaniSwali langu ni je,ukiletewa ndugu yako amebebwa wakati alitoka kwako akitembea utakenua meno kwa kusema aliyembeba ana roho nzuri au utajiuliza maswali ya nini kimempata?
kama utafurahia kuona amebewa,basi tukubali tunatofautiana mitizamo.
Na hivyo nikutakie mchana mwema.
KipofuNilichogundua ni kwamba mateka wanaoshikiliwa na Hamas wako dhohofu sana ila mateka wanaoshikiliwa na Israel Wana afya njema mno