uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
BBC wamesema leo ni siku ya tatu ya truceJamaa muongo sana
kwa hiyo usiendelee kubishana wakati kuanzia jumanne kisago kinaendelea.
Huu ni muda wa kujiandaa kurudi mitaroni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BBC wamesema leo ni siku ya tatu ya truceJamaa muongo sana
UnajidanganyaBBC wamesema leo ni siku ya tatu ya truce
kwa hiyo usiendelee kubishana wakati kuanzia jumanne kisago kinaendelea.
Huu ni muda wa kujiandaa kurudi mitaroni.
Hizo porojo zako msome Mateka mwenyewe.Kwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
Mazingira magumu yaliyosababishwa na Jeshi la Israel yamekuwa na madhara kwa maisha ya kila siku na kwa kila kiumbe kilichopo Gaza si kwamateka tu bali kwa watu wote.Mpaka hapo nimeishathibitisha,kama ulimteka mtu ukamchukua anatembea
Tunapata wapi akili ya kukupongeza kwa kumrudisha umembeba?
Hivi mvua ikinyesha ikasababisha mafuriko yakavunja daraja,unalaumu mvua ,mafuriko au daraja lililovunjika?Mazingira magumu yaliyosababishwa na Jeshi la Israel yamekuwa na madhara kwa maisha ya kila siku na kwa kila kiumbe kilichopo Gaza si kwamateka tu bali kwa watu wote.
Ni Israel iliyozuia na kukata kila aina ya huduma anayopaswa kupewa Mwanaadamu kuingia Gaza, na hilo pia unataka kuilaumu Hamas!?
Hizo porojo zako msome Mateka mwenyewe.
View: https://x.com/censoredmen/status/1728573117310570857?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Netanyau leo kasisitiza kuwa baada ya mapumziko wataanza na nguvu mpya gaza kusini.Unajidanganya
Hana uwezo huo. Kama siku 50 mateka wanatolewa kwenye mapaja ya majeshi ya Isreal.Netanyau leo kasisitiza kuwa baada ya mapumziko wataanza na nguvu mpya gaza kusini.
Mashimo yote kaskazini yameishafukiwa.Sasa ni mwendo wa watu kuanza kuishi juu ya uso wa ardhi
sawasawa na uumbaji wa Mungu,mashimo tuwaachie panya buku.
Muda utaongea usizime simu wala komputaHana uwezo huo. Kama siku 50 mateka wanatolewa kwenye mapaja ya majeshi ya Isreal.
Haya yote uliyapata wapi? Kutoka propaganda za wazayuni au msalaba mwekundu?Kwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
Sijui mimiHivi mvua ikinyesha ikasababisha mafuriko yakavunja daraja,unalaumu mvua ,mafuriko au daraja lililovunjika?
Hapana shekheNdio ulivyocremishwa na Gwajima