- Thread starter
- #21
Ndio ulivyocremishwa na Gwajimahiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.