Ndio ulivyocremishwa na Gwajimahiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
Gaza ina wenyewe...Swali langu. NI CHIMBO GANI AMBALO WALIFICHWA AMBALO ISRAEL ALISHINDWA KUFIKA?
Ndiyo dunia ione mazayuni walivyo.Kwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
Mazayuni walikuwa hawataki hata kuongea kuhusu kubadilishana mateka, baada ya kichapo wamesalimu amri.Swali langu ni je,ukiletewa ndugu yako amebebwa wakati alitoka kwako akitembea utakenua meno kwa kusema aliyembeba ana roho nzuri au utajiuliza maswali ya nini kimempata?
kama utafurahia kuona amebewa,basi tukubali tunatofautiana mitizamo.
Na hivyo nikutakie mchana mwema.
Kuna zayuni asiye mwanajeshi?Vita inapaswa kuwa kati ya Jeshi na Jeshi siyo Jeshi dhidi ya raia, vitendo vya utekaji nyara wa raia ili kuwafanya ngao ya vita kamwe havikubaliki
Kuwa mwanajeshi siyo kosa kisheria na wala siyo dhambi, kosa au dhambi inakuja pale wakati mwanajeshi huyo anapoutumia uanajeshi wake vibaya na kinyume na utaratibu.Kuna zayuni asiye mwanajeshi?
Toa uthibitisho wa madai yakoKwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
Wameshapimwa na kuonekana wako katika hali nzuri na watu wa Netanyahu.Wachache tu ndio wamechoka sana.Kwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
Vipi kuhusu maelfu ya watoto walio shikiliwa kwenye jera za Israel hao ni halali kuwa humo?Vita inapaswa kuwa kati ya Jeshi na Jeshi siyo Jeshi dhidi ya raia, vitendo vya utekaji nyara wa raia ili kuwafanya ngao ya vita kamwe havikubaliki
Hamna maana nyie wafilisti bandia. Mkipigwa kelele nyingiiiii mara anaua watoto na wanawake... Mkihurumiwa vyakula viingie Gaza mnasema yahudi ameshindwa..Hii inamaanishwa IDF wamefeli
Yahudi hana huruma. Ngoja siku aje kuripua Vatican ndio utajuaHamna maana nyie wafilisti bandia. Mkipigwa kelele nyingiiiii mara anaua watoto na wanawake... Mkihurumiwa vyakula viingie Gaza mnasema yahudi ameshindwa..
Huitaji hata elimu ya form IV kujua kwamba mateka wepi walikuwa kwenye mateso, ukiwaangalia wafungwa wa Palestine waliokuwa Israel wanaonekana Wana afya njema sana hiyo inaonyesha ni jinsi Gani walikuwa treated vizur ila upande wa pili ni tofauti mno.Tumeona wafungwa wa kipalestina wakiojiwa hadharani na kuelezea jinsi walivyokuwa wakinyanyaswa magerezani
Naona waisrael wanaogopa kuwahoji hadharani mateka walioachiwa toka yule kibibi kilivyochomoa betri kwa kusema walikuwa wanahudimiwa vizuri sana na walikuwa wanapatiwa mahitaji yote waliyoyahiyaji
Hii sawa na chadema wakiambiwa wasiandamane. Halafu wakaandamana wakapigwa ukasema kwanini wamepigwaWangekua na huruma wasingewateka. Shuaini zao wametuulia kijana wetu
Hii sawa na chadema wakiambiwa wasiandamane. Halafu wakaandamana wakapigwa ukasema kwanini wamepigwa
Hivi ile October 7th wasingefanya mambo ya kibislaamal haya yote yangetokea?Mayahudi kwani si walikua wanawaua wapelestina au huoni hayo?
Mkuu huenda handaki zinavuka mipaka ya Israel.Swali langu. NI CHIMBO GANI AMBALO WALIFICHWA AMBALO ISRAEL ALISHINDWA KUFIKA?