Video: Hapa Kenya wametuacha hatua 10 mbele kwenye utalii

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,559
Reaction score
8,318
Check out @FLOTUS’s Tweet:

Hiyo kitu imepostiwa hadi akaunti ya twitter ya TRUMP. Itaongeza idadi ya watalii Kenya. Na haya ni matunda ya Kenyatta kuonana na TRUMP kule Italy kwenye mkutano was G7, Kuonana huko kulizaa mualiko kwa Kenyatta kutembelea white house, na ziara ya white house mwanamama magreth kumualika melania kutembelea Kenya.
Huyu wa kwetu sasa! Kajifungia tu ndani dili zinapita.
 
Toa suggestion yako Mkuu!
kwa sababu tu mke wa trump katembelea kenya

Acha kukariri maisha wewe
Juzi tu katoka Rais wa uswisi na watu wake 60
Mrithi wa ufalme uk,wamekuja viongozi na ma star wengi tu
Kikwete mlimuita vasco da gama,huyu wa sasa hana sera ya kuzurura hovyo na nchi inakwenda kama kawaida
 
Kwa iyo kuja rais wa uswisi na hao watu wake ndo imetangaza nini sasa utalii waTZ?! Kwanza dunia yenyewe haikuwa na habari, huyo mwanamfalme alitalii wapi na katutangazia nini kuhusu utalii wetu?
Hivi wewe unafahamu twitter account ya Trump?! Ni zaidi ya RT, kwanza video yenyewe inavutia na imepostiwa kwenye account zinazosomwa zaidi, na watalii wengi hutoka hukohuko
 
Kwa hiyo utalii wa nchi unatokana na akaunti ya Trump au kuwa na vivutio vya uhakika?
Kenya si tishio tena na kwa spidi yetu tutawapita ndani ya miaka hii mitatu
 
Hayo ni matokeo ya kazi nzuri za Wizara ya Mambo ya nje na Wizara ya Utalii za Kenya

Wizara za hapa nyumbani zijifunze basi
 
Mavibaraka ya kufuta wadhungu choo walahi
697D9D4E-3BD1-420D-844E-BDF7BCFDD98C.jpeg
 
Kwa hiyo utalii wa nchi unatokana na akaunti ya Trump au kuwa na vivutio vya uhakika?
Kenya si tishio tena na kwa spidi yetu tutawapita ndani ya miaka hii mitatu
Mkuu hebu jitahidi kuficha ujinga basi!..... Kitendo cha trump kuipost hyo habari ishapata mileage ya kutosha na itasaidia kutangaza utalii wa nchi husika. Sometimes muwe mnajiongeza sio kila kitu kuleta ushabiki
 
sisi tutamuomba Obama arushe kwenye twitter akaunti yake aliyoyaona huko Serengeti, na twitter akaunti ya Obama Ina followers wengi kuliko akaunti ya trump na melania ukichanganya pamoja
 
Check out @FLOTUS’s Tweet:

Hiyo kitu imepostiwa hadi akaunti ya twitter ya TRUMP. Itaongeza idadi ya watalii Kenya. Na haya ni matunda ya Kenyatta kuonana na TRUMP kule Italy kwenye mkutano was G7, Kuonana huko kulizaa mualiko kwa Kenyatta kutembelea white house, na ziara ya white house mwanamama magreth kumualika melania kutembelea Kenya.
Huyu wa kwetu sasa! Kajifungia tu ndani dili zinapita.

Kwa taarifa yako ww usiejua kuna viongozi wakubwa sana wanatenda tz kwa utalii kimya kimya achana na Obama aliyekaa Serengeti wiki moja ... Prince William...ni wengi sana nenda kafatilie takwimu ofisi za utalii kisha linganisha na Kenya....tz tupo vizuri jiamini....na bado...
 
Duh! Ambacho hujaelewa ni nini hasa?! Au jiulize kwa nini wizara inayohusika na utalii bado inatangaza na inaongeza juhudi kutangaza utalii?!
 
Kuna nchi ambayo haitangazi utalii??
u must be a dumb person....if u think utalii hautangazwi...ama kuna ukomo wa kutangaza utalii
 
Badala ya kujibu swali unauliza swali. Kama waongozwaji wenyewe ndo wa namna hii, viongozi wana kazi sana.
 
Kamanda muda sio mrefu utaolewa na mkikuyu kutoka Kenya...we subiri tu posa inakuja.
 
Baba ako kuolewa na mkikuyu umekufanya udhani kila mtu anaweza kuolewa eti.
 
Back
Top Bottom