Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Kujikomba ni kitu kibaya sana.Hata South Africa ilishinda 6 ila taifa stars tulipigwa 3. Afu south Africa ina miji mizuri mfano cape town, ni mji mzuri mno.
Kujikomba ni kitu kibaya sana.Hata South Africa ilishinda 6 ila taifa stars tulipigwa 3. Afu south Africa ina miji mizuri mfano cape town, ni mji mzuri mno.
Kwa hiyo utalii wa nchi unatokana na akaunti ya Trump au kuwa na vivutio vya uhakika?
Kenya si tishio tena na kwa spidi yetu tutawapita ndani ya miaka hii mitatu
Alichokuwa anafanya JK ni sahihi au si sahihi?Acha kukariri maisha wewe
Juzi tu katoka Rais wa uswisi na watu wake 60
Mrithi wa ufalme uk,wamekuja viongozi na ma star wengi tu
Kikwete mlimuita vasco da gama,huyu wa sasa hana sera ya kuzurura hovyo na nchi inakwenda kama kawaida
Hahaaaa najua mkiongea kizungu kichwa kinauma lazima uchukie poor youuuuuMavibaraka ya kufuta wadhungu choo walahi View attachment 891262
Endelea wakati wewe ndio unaumia... mi nakusukumia tope tu...ha haa toto tamu walahMashoga mna maneno, eti 'jishebedue' mie napiga mkia tu
Nairobi national Park ni mbuga pekee duniani iliyo Karibu Na mji mkuu. Kenya made $1.2 Billion mwaka jana kutoka kwenye sector ya utalii while TZ ilipata $2.2 Billion. Hii inamaana Kenya wame utilise mbuga zao chache much better. Licha ya kuwa na mbuga chache tumejifahidi vilivyo kwenye marketing. KQ inaanza direct USA non stop flight October 28 Na hii Safari ya FLOTUS Na posts Zake zitasaidia pa kubwa.Na uongezee kuwa Kenya kwa utalii haiishindi Tanzania hata siku moja kwa sababu Kenya hawana mbuga nzuri kama zetu, never. There's nothing watalii wanafaidika na mbuga za Kenya, huu ndiyo ukweli wa uhakika. Ile elephant orphanage pale Nairobi ni mchezo tu unachezwa na wajanja kudanganya wazungu ili wapate ufadhili, it's a long story juu ya huu ujanja. Tembo na fisi ni wanyama wanaotunzwa na koo hivyo si rahisi mtoto wa tembo akaachwa na ukoo wake kuzururua ili aliwe na simba ama chui kama mama yake kafariki. Tanzania hana mpinzani hapa Afrika kwa mbuga za wanyama labda South Afrika ila si Kenya.
Acha kujifanya mjuaji wa masuala ya utalii unajivua uchi wako bila kujijua kwenye sekta hiyo ndugu. Usituambukize humu inferiority complex. Wakenya hawakulalamika mitandaoni unavyotaka kutupumbaza wakati Obama alipotumia wiki nzima akila gud time Serengeti na alipiga picha zikatawala Dunia nzima.Kwa iyo kuja rais wa uswisi na hao watu wake ndo imetangaza nini sasa utalii waTZ?! Kwanza dunia yenyewe haikuwa na habari, huyo mwanamfalme alitalii wapi na katutangazia nini kuhusu utalii wetu?
Hivi wewe unafahamu twitter account ya Trump?! Ni zaidi ya RT, kwanza video yenyewe inavutia na imepostiwa kwenye account zinazosomwa zaidi, na watalii wengi hutoka hukohuko
Jf ina watu wenye upeo finyu zaid ya ufinyu wenyeweCheck out @FLOTUS’s Tweet:
Hiyo kitu imepostiwa hadi akaunti ya twitter ya TRUMP. Itaongeza idadi ya watalii Kenya. Na haya ni matunda ya Kenyatta kuonana na TRUMP kule Italy kwenye mkutano was G7, Kuonana huko kulizaa mualiko kwa Kenyatta kutembelea white house, na ziara ya white house mwanamama magreth kumualika melania kutembelea Kenya.
Huyu wa kwetu sasa! Kajifungia tu ndani dili zinapita.
Mavibaraka ya kufuta wadhungu choo walahi View attachment 891262
By the mimi kwangu tanzania ndo nchi yng.Mkuu hebu jitahidi kuficha ujinga basi!..... Kitendo cha trump kuipost hyo habari ishapata mileage ya kutosha na itasaidia kutangaza utalii wa nchi husika. Sometimes muwe mnajiongeza sio kila kitu kuleta ushabiki
Ha ha haa imekuingia lazima udake mimba hakuna namna.....We pussy kweli, yaan mimi mtinduaji niumie wewe unaetinduliwa usiumie!!
Ha haa lazima ukome mm nakusukumia gegedo tu...likitoka unanyonyaHicho kicheko cha mahaba kama nimekuingizia pini vile
Hakuna anayekupinga kuwa kenya haipati fedha nyingi kuliko tanzania. Tunachosema na hata wenye uelewa kenya wanasema kuwa utalii sasa unapungua kenya na tanzania unaongezeka na ndiyo maana walikuwa wanapenda walete watalii tanzania kwenye magari na TZ wakagoma. Ukiangalia takwimu za ndege binafsi zinazotua KIA pamoja na abiria wanaotua hapo airport utashangaa na ndiyo maana nikasema tanzania kila mwaka inaongeza watalii wanaoingia EA ambapo hapo awali walikuwa wanatua huko.Nairobi national Park ni mbuga pekee duniani iliyo Karibu Na mji mkuu. Kenya made $1.2 Billion mwaka jana kutoka kwenye sector ya utalii while TZ ilipata $2.2 Billion. Hii inamaana Kenya wame utilise mbuga zao chache much better. Licha ya kuwa na mbuga chache tumejifahidi vilivyo kwenye marketing. KQ inaanza direct USA non stop flight October 28 Na hii Safari ya FLOTUS Na posts Zake zitasaidia pa kubwa.
Beby safari hii lazima nikupe mimba....sawa atoto azuri....chuchuchu....napenda kiuno chako walahiSafari hii nazibua huo mtalo afu nakunyonyesha dudu