Video: Hapa Kenya wametuacha hatua 10 mbele kwenye utalii

Video: Hapa Kenya wametuacha hatua 10 mbele kwenye utalii

Akirudi atamwambia mzee aporomoshe hoteli huko!
 
Hatuko Utumwani, hawa watalii wanao kuja Tz walialikwa na mke wa Trump sio? Na kwanini mtake kujilinganisha na tz tu, jilinganisheni na Uganda, Burundi, Rwanda, Somalia na wengine, mmeona Tz tu?
Na hiyo kofia ni ya kikoloni, ingia youtube search melania trump's colonial hat.
 
Ubongo wako hauna access na oxygen...kabisa.....
ubongo wako ni mzito kama nnta....ww inabidi uwe sahemu ya utalii....na research point
Na je huo ubongo wako uliokufa, Yaan wewe ubongo wako ni mfu, ubongo wako ni sawa na wa maiti, kwa kifupi wewe ni mfu aliye hai
 
Check out @FLOTUS’s Tweet:



Hiyo kitu imepostiwa hadi akaunti ya twitter ya TRUMP. Itaongeza idadi ya watalii Kenya. Na haya ni matunda ya Kenyatta kuonana na TRUMP kule Italy kwenye mkutano was G7, Kuonana huko kulizaa mualiko kwa Kenyatta kutembelea white house, na ziara ya white house mwanamama magreth kumualika melania kutembelea Kenya.
Huyu wa kwetu sasa! Kajifungia tu ndani dili zinapita.

Kenya imekuwa ikiongoza kwa idadi ya watalii wanaotembelea afrika ya mashariki kwa kipindi kirefu.
Pwani zao kama malindi diani n.k zilikuwa maarufu sana na kwa upande wa utalii Amboseli, Tsavo na mbuga nyingine zilikuwa zinashamiri sana.
Kwa muda wa miaka 3 sasa utalii unahama kenya na kuingia tanzania na ukiangalia watalii wanaoingia zanzibar hivi sasa ni wale idadi ya wale ambao hapo awali walikuwa wakienda pwani za kenya.
Hifadhi za kenya zilianza kupoteza uhalisia wa mbuga hizo [kama ilivyo afrika ya kusini] hivyo kupoteza mvuto.
Ukitaka kujua kuwa nchi hii inavamiwa na watalii hebu jaribu kwenda zanzibar ufanye booking kwenye hoteli zilizo beach. hupati chumba kabisa. Huko mbugani kuanzia kaskazini hadi seleou kuna jaaa watalii kupitiliza.
Hivyo kwa maoni yangu ni kuwa 'Kenya's loss is Tanzania's gain' cha msingi hapa ni kuboresha huduma zetu .
 
Na je huo ubongo wako uliokufa, Yaan wewe ubongo wako ni mfu, ubongo wako ni sawa na wa maiti, kwa kifupi wewe ni mfu aliye hai
Ha ha haaa....
umerogwa ww sio bure.....
ww ni maonyesho tayari...
 
Kenya imekuwa ikiongoza kwa idadi ya watalii wanaotembelea afrika ya mashariki kwa kipindi kirefu.
Pwani zao kama malindi diani n.k zilikuwa maarufu sana na kwa upande wa utalii Amboseli, Tsavo na mbuga nyingine zilikuwa zinashamiri sana.
Kwa muda wa miaka 3 sasa utalii unahama kenya na kuingia tanzania na ukiangalia watalii wanaoingia zanzibar hivi sasa ni wale idadi ya wale ambao hapo awali walikuwa wakienda pwani za kenya.
Hifadhi za kenya zilianza kupoteza uhalisia wa mbuga hizo [kama ilivyo afrika ya kusini] hivyo kupoteza mvuto.
Ukitaka kujua kuwa nchi hii inavamiwa na watalii hebu jaribu kwenda zanzibar ufanye booking kwenye hoteli zilizo beach. hupati chumba kabisa. Huko mbugani kuanzia kaskazini hadi seleou kuna jaaa watalii kupitiliza.
Hivyo kwa maoni yangu ni kuwa 'Kenya's loss is Tanzania's gain' cha msingi hapa ni kuboresha huduma zetu .
Tazameni hawa wakenya
IMG-20181010-WA0012.jpg
 
Sio uchawi nakut....i.... mpaka ubebe ch.upi kichwani....leo kote natawanya...usikwepeshe magoli...kuna mtu analogaga mke wake ....!!?
Una roho ngumu, hadi baba ako!! au hujui mie ni basha wa baba ako
 
Una roho ngumu, hadi ********!! au hujui mie ni basha wa ********
Basha wp jina lako ni Sexer...your are very sexy and beautiful mtoto mlaini tundu zote....I can't wait to .....ha ha haa
Aah sexer toto laini...alafu leo lazima nikupige na vibao vya buttocks
 
Wacha watuache,tukimaliza kununua wabunge wa upinzani,tutawafata
 
Back
Top Bottom