kwa sababu tu mke wa trump katembelea kenyaToa suggestion yako Mkuu!
Toa suggestion yako Mkuu!
Hiyo kitu imepostiwa hadi akaunti ya twitter ya TRUMP. Itaongeza idadi ya watalii Kenya. Na haya ni matunda ya Kenyatta kuonana na TRUMP kule Italy kwenye mkutano was G7, Kuonana huko kulizaa mualiko kwa Kenyatta kutembelea white house, na ziara ya white house mwanamama magreth kumualika melania kutembelea Kenya.kwa sababu tu mke wa trump katembelea kenya
Suggestion gani mkuu wakati uzi unajielezea au unataka kumchongea mwenzio tu achezee Ban ya maisha humu JF.Toa suggestion yako Mkuu!
Acha kukariri maisha weweHiyo kitu imepostiwa hadi akaunti ya twitter ya TRUMP. Itaongeza idadi ya watalii Kenya. Na haya ni matunda ya Kenyatta kuonana na TRUMP kule Italy kwenye mkutano was G7, Kuonana huko kulizaa mualiko kwa Kenyatta kutembelea white house, na ziara ya white house mwanamama magreth kumualika melania kutembelea Kenya.
Huyu wa kwetu sasa! Kajifungia tu ndani dili zinapita.
Kwa iyo kuja rais wa uswisi na hao watu wake ndo imetangaza nini sasa utalii waTZ?! Kwanza dunia yenyewe haikuwa na habari, huyo mwanamfalme alitalii wapi na katutangazia nini kuhusu utalii wetu?Acha kukariri maisha wewe
Juzi tu katoka Rais wa uswisi na watu wake 60
Mrithi wa ufalme uk,wamekuja viongozi na ma star wengi tu
Kikwete mlimuita vasco da gama,huyu wa sasa hana sera ya kuzurura hovyo na nchi inakwenda kama kawaida
Kwa hiyo utalii wa nchi unatokana na akaunti ya Trump au kuwa na vivutio vya uhakika?Kwa iyo kuja rais wa uswisi na hao watu wake ndo imetangaza nini sasa utalii waTZ?! Kwanza dunia yenyewe haikuwa na habari, huyo mwanamfalme alitalii wapi na katutangazia nini kuhusu utalii wetu?
Hivi wewe unafahamu twitter account ya Trump?! Ni zaidi ya RT, kwanza video yenyewe inavutia na imepostiwa kwenye account zinazosomwa zaidi, na watalii wengi hutoka hukohuko
Mkuu hebu jitahidi kuficha ujinga basi!..... Kitendo cha trump kuipost hyo habari ishapata mileage ya kutosha na itasaidia kutangaza utalii wa nchi husika. Sometimes muwe mnajiongeza sio kila kitu kuleta ushabikiKwa hiyo utalii wa nchi unatokana na akaunti ya Trump au kuwa na vivutio vya uhakika?
Kenya si tishio tena na kwa spidi yetu tutawapita ndani ya miaka hii mitatu
Kwa taarifa yako ww usiejua kuna viongozi wakubwa sana wanatenda tz kwa utalii kimya kimya achana na Obama aliyekaa Serengeti wiki moja ... Prince William...ni wengi sana nenda kafatilie takwimu ofisi za utalii kisha linganisha na Kenya....tz tupo vizuri jiamini....na bado...Check out @FLOTUS’s Tweet:
Hiyo kitu imepostiwa hadi akaunti ya twitter ya TRUMP. Itaongeza idadi ya watalii Kenya. Na haya ni matunda ya Kenyatta kuonana na TRUMP kule Italy kwenye mkutano was G7, Kuonana huko kulizaa mualiko kwa Kenyatta kutembelea white house, na ziara ya white house mwanamama magreth kumualika melania kutembelea Kenya.
Huyu wa kwetu sasa! Kajifungia tu ndani dili zinapita.
Mkulu asafiriToa suggestion yako Mkuu!
Duh! Ambacho hujaelewa ni nini hasa?! Au jiulize kwa nini wizara inayohusika na utalii bado inatangaza na inaongeza juhudi kutangaza utalii?!Kwa taarifa yako ww usiejua kuna viongozi wakubwa sana wanatenda tz kwa utalii kimya kimya achana na Obama aliyekaa Serengeti wiki moja ... Prince William...ni wengi sana nenda kafatilie takwimu ofisi za utalii kisha linganisha na Kenya....tz tupo vizuri jiamini....na bado...
Kuna nchi ambayo haitangazi utalii??Duh! Ambacho hujaelewa ni nini hasa?! Au jiulize kwa nini wizara inayohusika na utalii bado inatangaza na inaongeza juhudi kutangaza utalii?!
Badala ya kujibu swali unauliza swali. Kama waongozwaji wenyewe ndo wa namna hii, viongozi wana kazi sana.Kuna nchi ambayo haitangazi utalii??
u must be a dumb person....if u think utalii hautangazwi...ama kuna ukomo wa kutangaza utalii