Video: Hapa Kenya wametuacha hatua 10 mbele kwenye utalii

Beby safari hii lazima nikupe mimba....sawa atoto azuri....chuchuchu....napenda kiuno chako walahi
Acha maneno mangi aunt rastuta, wewe sema tu direct unapenda dushelele langu linavyokukuna vizuri
 
ilitakiwa tuwatumie hao viongozi wakubwa ili tuzidi kujiongezea watalii.
 
Umejibaruguza wee ila sentensi ya mwisho ndicho ulichokuwa umelenga kusema. Kwani watalii hawezi kuja bila kukutana na Trump.
 

Watz bwana. Kikwete alitembelea nchi karibia zote duniani na kukutana na viongozi wa kila aina ila hukuja hapa kutuambia utalii ungeongezeka zaidi ya kumponda na kumuona akitumbua fedha za walipa kodi.
Siku undumilakuwili ukiwatoka nadhani mtachangia maendeleo
 
Watanzania bwan toomuch blamish, yaan yule mwingine kila weekend alikuwa anaenda kula bata mamtoni mkasema anasafiri sana, sasa huyu naye hasafiri kabisa nje labda iwe imelazimu sana. Huwa anatuma wawakilishi ili kupunguza gharama
 
Miaka 3 mingi sana,miaka 2 tu instosha...
Kwa hiyo utalii wa nchi unatokana na akaunti ya Trump au kuwa na vivutio vya uhakika?
Kenya si tishio tena na kwa spidi yetu tutawapita ndani ya miaka hii mitatu
 
Watanzania bwan toomuch blamish, yaan yule mwingine kila weekend alikuwa anaenda kula bata mamtoni mkasema anasafiri sana, sasa huyu naye hasafiri kabisa nje labda iwe imelazimu sana. Huwa anatuma wawakilishi ili kupunguza gharama
Mkuu, mwakilishi hana uzito kama mkuu was nchi mwenyewe.
 


Nairobi National Park is bogus, been there. Kenya waliprofit kwenye marketing ya mbuga zao when Tanzania didn't bother doing so ndiyo maana Kenya took that advantage. Ila sasa Tanzania imehamka, so it's just a matter of time Kenya wataanza kutafuta senior citizens from china na Europe to go visit their national parks for discounted price. Kenya will never beat Tanzania katika national parks, never. Ukweli ni kwamba there's no national park in Kenya that can dream to rival any national park in Tanzania.
 
Kumbe dereva wa park alikua Mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…