Video: Harmo rapa akiwa katika utengenezaji wa video ya nyimbo yake mpya,

[emoji23] [emoji23] [emoji23] anaongea tu yule nahisi ni kiki, kwani msami ana sura Chungu???
Alifafanua akasema sio wenye sura mbaya bali wale wenye muonekano wa kiume I guess ni ile mijetromeni kama idris Elba.......

Na sio wabana pua wazee wakutongoza huku wanalamba lips hapa nahisi alikuwa akiwazungumzia watu kama kina Hemed PHD

Harmorappa unamuweka kundi gani?
 
mdomo uliponza kichwa,,bora ungenyamaza kuliko kukandia kias hicho alaf wanawake wenzako siku hizi mnaangalia pesa tu wew endelea kutafuta handsome boy..
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Kwahiyo usishangae nawe ukakwama kwa mtu kama yeye au zaidi yake nasi tukakushangaa pia
 
Kawaida yenu kudiss hata diamond mlimuita domo kisha kwa sasa mnaomba kupiganae selfie
 
Nimeusikiliza wimbo wake ni zinga la truck na niwazi kaaandikiwa kabisa.
Hii akiifanyia promo ya kutosha lazima itatisha... alilyemuandikia amempatia sana tena sana
hata mm pia jisongi lake nmelielewa sana dogo big up kwake..
 
very true..
 
we binti umeolewa ?
 
Muombe sir God uwe na akiba ya Maneno itakusaidia kwenye maisha yako
 
[HASHTAG]#HarmoRapa4MtvAward2017[/HASHTAG]
 
Umemaliza kuzaa au bado? teh teh angalia usije zaa mtoto hamorapa aonekane HB dhidi ya mwanao
 
Hakika Mungu hajawah kosea katka uumbaji.Hivo usikufuru ndugu yangu.Hiyo unayoiona sura yako tam sekunde tu inaweza kuwa zaid ya binadam mwenzetu(Hamo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…