Video: Harmo rapa akiwa katika utengenezaji wa video ya nyimbo yake mpya,

Wanaune wa dar mnamchukia harmo rapper kwa sababu hapaki wanja na lipbum kama kina diamond... Wivu umewajaa..
 
Hakika Mungu hajawah kosea katka uumbaji.Hivo usikufuru ndugu yangu.Hiyo unayoiona sura yako tam sekunde tu inaweza kuwa zaid ya binadam mwenzetu(Hamo)
Hao wanaomcheka harmorapa ndo wanakesha masaloon kupaka makeup wanajua kila sina ya mikorogo at least wawe weupe wapate muonekano.wanashinda kwa wachina kunenepesha nyonyo na wowowo!!
Swala la uumbaji sio swala la mtu binafsi mungu ametuumba kwa Mapenzi na kwa mfano wake yake yeye,ukimwona mbaya mamake anamuona nzuri,popote mamake anajua kijana wake yuko mjini anapambana....tukiamua kuweka sura zetu hapa tutakimbiana...
 
Yooohhh Pop it in[emoji23] [emoji23] [emoji350] [emoji445] huyu Harmorapa anautani na Team flani hivi ile ya..."Bado bado sijapona[emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji36] "
 
mkuu kabla hujafa haujaumbika...kwa hiyo mshukuru Mungu kwa vile ulivyo..na hakuna makosa katika uumbaji wa Mungu
 
Kwamba harmo sio wa nchi hii kwa hivi vichupa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku hizi wanasema kikubwa uwe na chapaa. Sura hata mbuzi anayo
 
Mtake radhi muumba wako let say wew ndo unahiyo sura utajiskiaje unapoambiwa hivo halafu wewe inaonekana unasura mbaya halafu mwanaume awe na sura nziri ili iweje fu*****
 
Mwanaume hasifiwi urembo dada
 
Sura ya kazi kweli nimeamini huyu ni kiboko ya mabishoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…