Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

Mkuu nimependa sana huu mfano wako
 
Sasa je?
Kama hujui ni kuwa mambo yote anafanya meneja wake salam SK
Ni figisu za kutengenezwa tu hata Ile kipindi DJ khalled Ana mfollow,rockrose pia akamfollow yote ni nguvu ya pesa tu hamna kingine
Unazo evidence mkuu ? Maana naona kama unatuletea story za vijiweni wengine hatuna u team ila tunapenda kusoma habari zenye facts
 
Sasa je?
Kama hujui ni kuwa mambo yote anafanya meneja wake salam SK
Ni figisu za kutengenezwa tu hata Ile kipindi DJ khalled Ana mfollow,rockrose pia akamfollow yote ni nguvu ya pesa tu hamna kingine
Sometimes abortion is an option..a wasted sperm..
Kila kitu kwako ni chuki tu..punguza mihemko mzee,haya tueleze alimlipa bei gan dj khalled? Alilipa bei gn kwa rickrose? show za afcon alihonga bei gan?...maniga huwa wana kunja sura,wanakunjua roho..
 
Shikamoo mkuu
 
Nzuri sana hii mkuu.👏
 
Tatizooo masikiini wengii wa akili humu ndoo wanaooona jamaa hana jipyaa lakn he stil make his own money na kunaa yukoo kwa kaka ake anasemaa hana lolotee
 
Sasa je?
Kama hujui ni kuwa mambo yote anafanya meneja wake salam SK
Ni figisu za kutengenezwa tu hata Ile kipindi DJ khalled Ana mfollow,rockrose pia akamfollow yote ni nguvu ya pesa tu hamna kingine
Duuuh mondi amhonge dj khaleed
 
Asitake kutuchefua sisi wazee was usafini, akakojoe alale
Harmonize ametumia technic nzuri ili kupunguza chuki za team WCB wanaomuandama na ukizingatia Harmonize Hana mashabiki wengi na amefanya hivyo ili kuongeza mashabiki wa WCB wampende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…