Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

Mtikila angekuwepo hapa angeenda mahakamani kuishtaki ccm na angepiga hela...
 
Sasa unataka ccm itoke ndio tuwape hawa wahuni wa chadema kweli? Ambao wakikopeshana hela wanakuja kubwatukiana kwenye mitandao , kuna kiongozi hapo? Unategemea mtu kama huyo atakuwa na huruma na weww mwananchi
Mapungufu ya ccm yanavumilika kuliko hawa wahuni wa chadema
Wewe ulitaka wakikopeshana wafanyeje hao chadema?
 
naam asi ishie kwenye video tu, aende mahakamani aka pinge maana Sheria ipo wazi.
Maswala ya kisiasa mara nyingi kama sio zote humalizwa kwa njia za kisiasa kushambuliana majukwaani..

Kwa hiyo: Huyu ni mwepesi mno kama unyoya wa kuku. Tutamalizana naye kisiasa mpaka ataombapo. Hakuna cha mahakama wala baba yake mahakama...

Hili litaisha kwa njia za kisiasa kubwa ikiwa ni kufanya "mass mobilization" kumkataa kiongozi anayejiteua na kujiweka mwenyewe ktk nafasi ya kuongoza watu..

Ndiyo maana kuna kelele za "ACHIA NGAZI, JIUZURU" ni kubwa na zinakera masikioni mwa viongozi wezi na waroho wa madaraka kama huyu mama..

Na inajulikana, viongozi wa namna hii, huwa wakikerwa sana na kelele hizi, huamua ku - abuse power na mamlaka yao kwa kuamuru kila anayepiga kelele hizo anyamazishwe kwa kutekwa, kuteswa au kuuwawa kabisa. Na mara nyingi wakosoaji wa watawala hawa, huwatengezewa kesi mbaya kama uhai nk

Huyu tutamalizana naye kisiasa. Hakuna cha mahakama wala nini...
 
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..

➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...

➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...

Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..

Hayo ni maoni tu kila mmoja yupo huru kusema!
 
Kwanza tupe CV ya Mzee Malisa ndani ya CCM ndio tuchangie.
 
Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..l

Itakua huyu alikuwa askofu huko nyuma, anachuki na Bi Samia
 
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kupingwa waiwazi..

➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...

➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena...

Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..

Mzee Malisa yuko sahihi kabisa, lakini anampigia mbuzi guitar. He’s dealing with a bunch of fools who think this country is their private property. Afadhali akajaribu bahati mahakamani. Akipata bahati ya shauri lake kupangiwa “a real judge”, atakuwa na chance kubwa ya kufanikiwa.

Kama shida ni hela ya kuendesha shauri, aseme; GoFundMe ipo. Watu waliokerwa na hiyo political malpractice wapo wengi, watamchangia pesa!
 
Back
Top Bottom