Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

Mtikila angekuwepo hapa angeenda mahakamani kuishtaki ccm na angepiga hela...
 
Wewe ulitaka wakikopeshana wafanyeje hao chadema?
 
naam asi ishie kwenye video tu, aende mahakamani aka pinge maana Sheria ipo wazi.
Maswala ya kisiasa mara nyingi kama sio zote humalizwa kwa njia za kisiasa kushambuliana majukwaani..

Kwa hiyo: Huyu ni mwepesi mno kama unyoya wa kuku. Tutamalizana naye kisiasa mpaka ataombapo. Hakuna cha mahakama wala baba yake mahakama...

Hili litaisha kwa njia za kisiasa kubwa ikiwa ni kufanya "mass mobilization" kumkataa kiongozi anayejiteua na kujiweka mwenyewe ktk nafasi ya kuongoza watu..

Ndiyo maana kuna kelele za "ACHIA NGAZI, JIUZURU" ni kubwa na zinakera masikioni mwa viongozi wezi na waroho wa madaraka kama huyu mama..

Na inajulikana, viongozi wa namna hii, huwa wakikerwa sana na kelele hizi, huamua ku - abuse power na mamlaka yao kwa kuamuru kila anayepiga kelele hizo anyamazishwe kwa kutekwa, kuteswa au kuuwawa kabisa. Na mara nyingi wakosoaji wa watawala hawa, huwatengezewa kesi mbaya kama uhai nk

Huyu tutamalizana naye kisiasa. Hakuna cha mahakama wala nini...
 
Hayo ni maoni tu kila mmoja yupo huru kusema!
 
Kwanza tupe CV ya Mzee Malisa ndani ya CCM ndio tuchangie.
 
Itakua huyu alikuwa askofu huko nyuma, anachuki na Bi Samia
 
Mzee Malisa yuko sahihi kabisa, lakini anampigia mbuzi guitar. He’s dealing with a bunch of fools who think this country is their private property. Afadhali akajaribu bahati mahakamani. Akipata bahati ya shauri lake kupangiwa “a real judge”, atakuwa na chance kubwa ya kufanikiwa.

Kama shida ni hela ya kuendesha shauri, aseme; GoFundMe ipo. Watu waliokerwa na hiyo political malpractice wapo wengi, watamchangia pesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…