Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..

➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...

➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...

Tazama na sikiliza mwenyewe

CCM

Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..

CCM madhubuti ilishamaliza mambo ya mabadiliko ya katiba yake, lakini pia ilishaamua kuhusu nani awe mgombea urais na mgombea mwenza wa urasi kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 2025,

habari za watu mithili ya akina mzee magoma ni porojo tu za kupotezea muda 🐒
 
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..

➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...

➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...

Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..

Kale kazee sikakubali kabisa, utawala wake ulikubwa na skendo kubwa kubwa za ufisadi kuliko utawala wowote, kikaja kuharibu mchakato wa katiba mpya uliotumia mamilioni ya fedha za walipa kodi kahuni sana
 
Mkutano mkuu ni mkubwa kuliko vikao vyote vya CCM

Waweza amua lolote mradi maamuzi yawe ya wengi wajumbe wa mkutano mkuu

Huyo atakuwa Chadema aliyenunua kadi ya CCM

Mkutano mkuu ukishaamua jambo limeisha hilo kinachofuata utekelezaji
Initiator ni nani wa Hilo jambo Ili mkutano mkuu uamue? Unajua kwamba hata wajumbe wa mkutano mkuu walikua hawajui kilichokua kinawakutanisha Dodoma kama ni kupokea utekelezaji wa ilani au kupitisha Wagombea? Unaweza kunukuu Katiba ya chama kwamba mkutano mkuu unaweza kuamua lolote kuhusu kiti Cha Urais na wajumbe wakakenua meno tu Kwa sauti ya ndyo? Kama mkutano mkuu unaweza kuamua jambo lolote, uko wapi umuhimu wa kuwa na katika. A sehemu ya Katiba inayoelezea mchakato wa kupata Wagombea?
Ukweli ni kwamba kama wahuni walivyokataa asiapishwe baada ya Jiwe kuondoka duniani na yeye kuona kwamba ni dhahiri hakubaliki ndani na nje ya chama isipokua ni nguvu ya Dola akaona apindishe mchakato Ili kijiimarisha!
Huoni aligoma kutoka ukumbini Ili wamjadili?
Unajua kama anatumia kofia tatu alizonazo kuwaensesha watu wote walioko chini yake na wasimwambie chochote? Unajua kama ni Rais, ni Amiri Jeshii Mkuu na ni Mwenye kiti wa chama Cha Mapinduzi?
Kwani wajinga wote ndani ya chama walikua Imma atakua atakua Mgombea mwenza? Si Kuna wapumbavu wengine walikua wanamoigia chapuo Majaliwa na Bashite!
Wake up fools!
 
Mzee Malisa yuko sahihi kabisa, lakini anampigia mbuzi guitar. He’s dealing with a bunch of fools who think this country is their private property. Afadhali akajaribu bahati mahakamani. Akipata bahati ya shauri lake kupangiwa “a real judge”, atakuwa na chance kubwa ya kufanikiwa.

Kama shida ni hela ya kuendesha shauri, aseme; GoFundMe ipo. Watu waliokerwa na hiyo political malpractice wapo wengi, watamchangia pesa!
You are joking, right...?

Aende Mahakama hizi ambazo majaji na mahakimu wake wanateuliwa na huyo huyo aliyejiteua kuwa mgombea u - Rais...?

Nyie watu inavyoelekea huwa hamumwelewi kabisa Tundu Lissu anapokuwa ana u - address mfumo wa utawala wa nchi yetu wa "u - Rais wa kifalme" siyo...?

Yaani mfalme/malkia kaamua halafu wewe unajifanya kwenda kumhoji..??

Njia sahihi ya kupambana na mfumo wa namna hii ni through"mass mobilization..."

Watu/wananchi (mass) wakikasirika na kuamua kuukataa utawala au kumkataa mtu fulani kuwa kiongozi wao, huwa hakuna namna inaweza kufanyika zaidi ya ku - surrender...

Haendi mtu/mwana CCM yeyote mahakamani badala yake mass mobilization itaamua ndani kwa ndani...

And remember, when the right time to strike presents itself, you will see the consequences of their actions hitting back to them...

Wait and see...
 
Wana ccm wameamua iwe hivyo labda weww ndio hukupenda, ila kuna kamati kwa ajili ya jambo hilo na wameamua hivyo
Wana CCM wepi hao walioamua iwe hivyo...?

Ni wale 1500+ waliojikusanya Dodoma kulipwa posho...?

Stop joking bro...

There are thousands of CCM members all over the country who are completely dismayed with that stupid decisions made on 19th January, 2025 by the so called "General meeting..."
 
Back
Top Bottom