Video: Hawa sasa ndo Viongozi wa Dini. Siyo wale wengine wenye Njaa na kujikomba

Video: Hawa sasa ndo Viongozi wa Dini. Siyo wale wengine wenye Njaa na kujikomba

Huu Ujumbe mzuri sana kwa Taifa. Hata sisiem tumeona hoja zipo. Na kwa kuwa hatuna woga wowote na uchaguzi tunasisitiza kuwa tunataka Tume huru ya Uchaguzi ili Rais achaguliwe kwa haki.

View attachment 3301848
Chadema hili swala la upendeleo na ubaguzi wa kidini linawakosti sana, hamjielewi tu. Wapo viongozi wa dini kibao wanaoiunga mkono serikali lakini nyie chadema mpo na masheikh tu Kila siku.....kuwakashfu, kuwatukana n.k. Haya, twende kazi.
 
Huyo ni mwanachadema na Viongozi wa dini hawakatazwi kuwa na mlengo wa kiitikado ila sio sawa kutumia kofia ya dini kupigia chapuo Vyama.

Mwisho huyu pia anaweza waingiza Chadema kwenye mfumo maana sijawahi ona akiingia kwenye mtafaeuku na Serikali wash hata Kigoma Huwa Anajibiwa na Serikali au Wanasiasa wa CCM ila sio huyu bwana.

So nyie Chadema mnaweza kuwa mna jaa kizembe sana.
 
Hapa ndio utagundua tofauti ya shekh na padri......................kama mbingu na ardhi
Hahahaha elimu dunia ni muhimu sana mkuu.

Utaona wana ilimu ahera watalethijoja za kidini kuwa kwa kuwa namba 1 ni muislam ndio maana maaskofu wanaleta hayo Ila kutoka moyoni hakuna uchaguzi ni uchafuzi.
 
Chadema hili swala la upendeleo na ubaguzi wa kidini linawakosti sana, hamjielewi tu. Wapo viongozi wa dini kibao wanaoiunga mkono serikali lakini nyie chadema mpo na masheikh tu Kila siku.....kuwakashfu, kuwatukana n.k. Haya, twende kazi.
Bwege wewe. Kuna sehemu sheikh amesemwa? Nyie mliondolewa akili mkawekewa choo. Unakurupuka kama ulikuwa una pooh porini kisha ukasikia nyokaaaa... Wapi kuna sheikh katajwa?
 
Back
Top Bottom