Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Amekosea wapi?Huyu Mganda boya tu
Eti Askofu wa Kkkt haha
Boss wake Malasusa anamchora tu
Amandla...
Amekosea wapi?Huyu Mganda boya tu
Eti Askofu wa Kkkt haha
Boss wake Malasusa anamchora tu
Amechanganyikiwa huyo kwani damu ya thadei Mushi aliyemuwekea sumu inalia toka mavumbini.Mara yakwanza kuona mchagga mpuuzi
Kavuekubazi uje tenaChadema hili swala la upendeleo na ubaguzi wa kidini linawakosti sana, hamjielewi tu. Wapo viongozi wa dini kibao wanaoiunga mkono serikali lakini nyie chadema mpo na masheikh tu Kila siku.....kuwakashfu, kuwatukana n.k. Haya, twende kazi.
Kuweweseka huko. Damu ya Mushi inakulilia bro. Karma is real.Huyu Mganda boya tu
Eti Askofu wa Kkkt haha
Boss wake Malasusa anamchora tu
Unafirimbwa wewe, sipotezi muda na linyumbu lisilo na akili.Bwege wewe. Kuna sehemu sheikh amesemwa? Nyie mliondolewa akili mkawekewa choo. Unakurupuka kama ulikuwa una pooh porini kisha ukasikia nyokaaaa... Wapi kuna sheikh katajwa?
Huyu si mwanachadema ni mtanzania na ndo maana hata ccm tunamkubali hapo anaongea points ambazo hazijajabiwa. Na kwa nini aingie mtafaruku na serikali? Unataka sema kuna watu huwa serikali inawanunua ndo hawaingii mtafaruku nayo?sikujuaHuyo ni mwanachadema na Viongozi wa dini hawakatazwi kuwa na mlengo wa kiitikado ila sio sawa kutumia kofia ya dini kupigia chapuo Vyama.
Mwisho huyu pia anaweza waingiza Chadema kwenye mfumo maana sijawahi ona akiingia kwenye mtafaeuku na Serikali wash hata Kigoma Huwa Anajibiwa na Serikali au Wanasiasa wa CCM ila sio huyu bwana.
So nyie Chadema mnaweza kuwa mna jaa kizembe sana.
Unafirimbwa wewe, sipotezi muda na linyumbu lisilo na akili wala ubongo.Unafirimbwa wewe, sipotezi muda na linyumbu lisilo na akili.
Amebanwa na mavi kichakaniBwege wewe. Kuna sehemu sheikh amesemwa? Nyie mliondolewa akili mkawekewa choo. Unakurupuka kama ulikuwa una pooh porini kisha ukasikia nyokaaaa... Wapi kuna sheikh katajwa?
Shehe Ponda nae katoa neno kuhusiana na hii issue ya Lissu.Hapa ndio utagundua tofauti ya shekh na padri......................kama mbingu na ardhi
Jambo la kufurahisha ni kuwa mmeshajifia😃😃😃😃Kavuekubazi uje tena
Umekunya kichakaniUnafirimbwa wewe, sipotezi muda na linyumbu lisilo na akili.
Nani amejifia akili kisodaJambo la kufurahisha ni kuwa mmeshajifia😃😃😃😃
Mtatukana matusi wangese nyie lakini ndo kwishnei.....mafala nyie! Unataka uongozi halafu una ubaguzi wa kidini?!!! Mungu lazima akulaani.Amebanwa na mavi kichakani
Bado hujajua tu?!! Pole sana nyumbuNani amejifia akili kisoda
Waisiharamu watapingaHuu Ujumbe mzuri sana kwa Taifa. Hata sisiem tumeona hoja zipo. Na kwa kuwa hatuna woga wowote na uchaguzi tunasisitiza kuwa tunataka Tume huru ya Uchaguzi ili Rais achaguliwe kwa haki.
View attachment 3301848
Kiongoz wa chama au mfuasi ndo huwa wanawasema masheikh?Chadema hili swala la upendeleo na ubaguzi wa kidini linawakosti sana, hamjielewi tu. Wapo viongozi wa dini kibao wanaoiunga mkono serikali lakini nyie chadema mpo na masheikh tu Kila siku.....kuwakashfu, kuwatukana n.k. Haya, twende kazi.
1. Kashfa ya EPA (External Payment Arrears) – 2005-2008Jambo la kufurahisha ni kuwa mmeshajifia😃😃😃😃
Hapo kwenye Masheikh kuwa specific! Masheikh wa Bakwata ndiyo 🚮 kabisa. Ila siyo Masheikh wa Shura ya Maimamu. Wale wako vizuri kwenye kutetea haki na pia kusimama kwenye ukweli.Hapa ndio utagundua tofauti ya shekh na padri......................kama mbingu na ardhi
Unamtajia mambo mtu ambaye hana akili zilizobaki.1. Kashfa ya EPA (External Payment Arrears) – 2005-2008
Katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), takribani TSh bilioni 133 zilitolewa kwa njia ya udanganyifu kwa makampuni hewa.
Waliotajwa au kuhusishwa:
Wafanyabiashara kadhaa
Watendaji wa BoT, akiwemo marehemu Daudi Ballali (Gavana wa BoT)
---
2. Kashfa ya Richmond/Dowans – 2006-2008
Mkataba wa kufua umeme na kampuni ya Richmond uliokuwa na mapungufu makubwa.
Waliotajwa au kuhusika:
Edward Lowassa (Waziri Mkuu wakati huo – alijiuzulu 2008)
Nazir Karamagi (Waziri wa Nishati)
Ibrahim Msabaha
---
3. Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow – 2013-2014
TSh bilioni 306 zilitolewa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu na kuwanufaisha baadhi ya watu binafsi na taasisi.
Waliotajwa:
James Rugemalira (VIP Engineering)
Harbinder Singh Sethi (PAP)
Jaji Werema (alijiuzulu)
Prof. Sospeter Muhongo (Waziri wa Nishati wakati huo)
---
4. Kashfa ya Ufisadi wa Rada (BAE Systems) – 2002-2007
Serikali ilinunua rada kwa gharama kubwa isivyo kawaida. Uingereza ilikiri rushwa ilihusika.
Waliotajwa:
Maofisa wa serikali (majina hayakutajwa rasmi nchini, lakini walituhumiwa)
---
5. Kashfa ya Meremeta & Tangold
Makampuni yaliyoanzishwa kwa ajili ya shughuli za kijeshi na madini, lakini baadaye kugubikwa na utata wa matumizi ya fedha.
Waliotajwa:
Hakuna waliotajwa moja kwa moja, lakini ilihusisha taasisi za serikali.
---
6. Kashfa ya Lugumi Enterprises – 2015
Mkataba wa TSh bilioni 37 kwa ajili ya kufunga mashine za kuchukua alama za vidole vituo vya polisi – lakini utekelezaji wake ulikuwa na matatizo.
Waliotajwa:
Kampuni ya Lugumi Enterprises
saidi lugumi
Maofisa wa Jeshi la Polisi
Hapa ndio utagundua tofauti ya shekh na padri......................kama mbingu na ardhi