Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
lakini bagonza huwa anaziria uchaguzi wa KKKT vipi kuhusu taratibu za kumpata mkuu wa KKKT zimebadilishwa kweli? au bangonza anaona kibanzi cha tume ya Taifa huru ya Uchaguzi tu, ila kibanzi kwenye uchaguzi wa kanisa lake halioni na hajalitoa bado?Huu Ujumbe mzuri sana kwa Taifa. Hata sisiem tumeona hoja zipo. Na kwa kuwa hatuna woga wowote na uchaguzi tunasisitiza kuwa tunataka Tume huru ya Uchaguzi ili Rais achaguliwe kwa haki.
View attachment 3301848
atazira na atasisusa na kukimbia uchaguzi ujao tena wa KKKT.
Hata hivyo,
hivi kweli mtu atoke Karagwe huko aje ashindane na malasisa wa mashariki na Pwani?🐒