Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Chadema hili swala la upendeleo na ubaguzi wa kidini linawakosti sana, hamjielewi tu. Wapo viongozi wa dini kibao wanaoiunga mkono serikali lakini nyie chadema mpo na masheikh tu Kila siku.....kuwakashfu, kuwatukana n.k. Haya, twende kazi.Huu Ujumbe mzuri sana kwa Taifa. Hata sisiem tumeona hoja zipo. Na kwa kuwa hatuna woga wowote na uchaguzi tunasisitiza kuwa tunataka Tume huru ya Uchaguzi ili Rais achaguliwe kwa haki.
View attachment 3301848
Mara yakwanza kuona mchagga mpuuziHuyu Mganda boya tu
Eti Askofu wa Kkkt haha
Boss wake Malasusa anamchora tu
Hawezi kuwa mchagga huyo. kamweMara yakwanza kuona mchagga mpuuzi
Iodine tincture kwenye kidonda.Huyu Mganda boya tu
Eti Askofu wa Kkkt haha
Boss wake Malasusa anamchora tu
Huyo ni mwanachadema na Viongozi wa dini hawakatazwi kuwa na mlengo wa kiitikado ila sio sawa kutumia kofia ya dini kupigia chapuo Vyama.Huu Ujumbe mzuri sana kwa Taifa. Hata sisiem tumeona hoja zipo. Na kwa kuwa hatuna woga wowote na uchaguzi tunasisitiza kuwa tunataka Tume huru ya Uchaguzi ili Rais achaguliwe kwa haki.
View attachment 3301848
CC+ saa100Huu Ujumbe mzuri sana kwa Taifa. Hata sisiem tumeona hoja zipo. Na kwa kuwa hatuna woga wowote na uchaguzi tunasisitiza kuwa tunataka Tume huru ya Uchaguzi ili Rais achaguliwe kwa haki.
View attachment 3301848
Hahahaha elimu dunia ni muhimu sana mkuu.Hapa ndio utagundua tofauti ya shekh na padri......................kama mbingu na ardhi
Bwege wewe. Kuna sehemu sheikh amesemwa? Nyie mliondolewa akili mkawekewa choo. Unakurupuka kama ulikuwa una pooh porini kisha ukasikia nyokaaaa... Wapi kuna sheikh katajwa?Chadema hili swala la upendeleo na ubaguzi wa kidini linawakosti sana, hamjielewi tu. Wapo viongozi wa dini kibao wanaoiunga mkono serikali lakini nyie chadema mpo na masheikh tu Kila siku.....kuwakashfu, kuwatukana n.k. Haya, twende kazi.
Ni mwendo wa kugawa Uhaini tu maana hamna namnaKwahiyo Watawala watagawa Uhaini kama Karanga hadi kwa Viongozi wa dini?!
Bwege ni wewe unayetawaliwa na Mzanzibar. Afadhali mganda anayeitetea Tanganyika.Huyu Mganda boya tu
Eti Askofu wa Kkkt haha
Boss wake Malasusa anamchora tu
HazielewiMama yenu hatak kusikia point kama hizi.