VIDEO: Haya ndiyo mafuriko ya watu yanayoshikilia rekodi nzito ya mapokezi ya Rais Samia hapa nchini mpaka muda huu

Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama mlevi wa gongo
Mimi nimeshasoma na tumeshatolewa mara nyingi kwenda mikutano ya ccm ila tukifika huko tunaelekea sehemu nyengine kufanya shuguli zetu kwahiyo hayo sio mageni ccm kuzoa wanafunzi kuwapeleka mikutanoni. Usiwe mpingaji kwa jambo linalofanyika siku zote utakuwa mpumbavu wa kilumumba.
 
Ingekua kwa hiari yao wasingetokea
 
CCM wamedoda.
 
Ukiona chawa anashabikia jambo ongeza akili za kwako ,shida wanamikosi sana
 
Magari mangapi yalitumika kuwasomba wananchi na posho iliyotoka ni bei gani.
Wasanii walikua wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…