Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop) nyeupe iliyofika nyumbani kwake asubuhi ikiwa na namba za usajili T 318 EQJ, baada ya kufanya uchunguzi na kupiga picha, imebainika kuwa namba hizo ni za kughushi kwani zimesajiliwa kwa ajili ya katapila la kutengenezea barabara na siyo gari hilo.
Japo gari iliyopo kwenye picha ni T 518 EQJ. Hata Tundu mwaka 2017 alianza hivihivi kulalamika.
