🫵🌈🤫ufisadi wa heche upo pale pale gentleman 🐒
Sasa heche anahitaji kiki kweli 😅😅😅 watanzania sio wajinga wanajua yupi ni yupi.mara EQA mara EDJ mbona mnapenda kiki?
Well, je hiyo gar ilikua inatafuta nn kwa heche? Maan lissu alilalamika hivi mwaka 2017 mkampuuza matokeo yake mkataka kumuuaAnadai namna feki ni T318 EQJ na halisi ni T518EQJ ;
Hiyo T318 EQJ imetokea wapi? Maana hata ukiangalia picha ya gari ni T518EQJ.
Wachunguzwe haraka hao!View attachment 3639435
Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop) nyeupe iliyofika nyumbani kwake asubuhi ikiwa na namba za usajili T 318 EQJ, baada ya kufanya uchunguzi na kupiga picha, imebainika kuwa namba hizo ni za kughushi kwani zimesajiliwa kwa ajili ya katapila la kutengenezea barabara na siyo gari hilo.
Japo gari iliyopo kwenye picha ni T 518 EQJ. Hata Tundu mwaka 2017 alianza hivihivi kulalamika.
Acha mzaha basi,kama ni kiki zipo open kwake, alikuwa mbunge na Sasa makamu mwenyekiti,kiki SI automatic Hapo!hana athari zozote kwenye siasa za Tanzanai, anatafuta kiki tu na public sympathy.
ufisadi wake utaumbuliwa baraka kuu vizuri tu hakuna namna anaweza kuepuka kubanduliwa kwenye nafasi yake![]()
Ila yeye mwenyewe hajasema hivyo.Nadhani ni kuteleza kwa ulimi tu
Hana hayo mamlaka ccm ndio wenye hayo mamlaka kuteka na kuua bila kuhojiwa na chombo chochote.Wanashindwaje kuwaua hao wafuatiliaji? Ameshatoa taarifa Polisi?
We sikiliza ujumbe hayo ya herufi ni kupoteza muda!D na Q zinakaribiana kweli??
Badala ya kujadili Hoja,upo kwenye herufi!Anadai namna feki ni T318 EQJ na halisi ni T518EQJ ;
Hiyo T318 EQJ imetokea wapi? Maana hata ukiangalia picha ya gari ni T518EQJ.
kibaka na tapeli wa kisiasa tu huyo. Sidhani hata kama anakumbukwa ikiwa aliwahi kua mbunge 🐒Acha mzaha basi,kama ni kiki zipo open kwake, alikuwa mbunge na Sasa makamu mwenyekiti,kiki SI automatic Hapo!
Hizo ndio hoja zenyewe sasa.Badala ya kujadili Hoja,upo kwenye herufi!
Hoja MFU, namba huzioni kwenye gari! Mambo mengine ni kunyamazaHizo ndio hoja zenyewe sasa.
SawaNdiyo maana nasema kuna kuteleza ulimi kwenye matamshi ya Heche, tuende na picha ya gari