Hivi bado hawachoki na mambo ya kupoteza watu au kuvizianaView attachment 3639435
Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop) nyeupe iliyofika nyumbani kwake asubuhi ikiwa na namba za usajili T 318 EQJ, baada ya kufanya uchunguzi na kupiga picha, imebainika kuwa namba hizo ni za kughushi kwani zimesajiliwa kwa ajili ya katapila la kutengenezea barabara na siyo gari hilo.
Japo gari iliyopo kwenye picha ni T 518 EQJ. Hata Tundu mwaka 2017 alianza hivihivi kulalamika.
hana athari zozote kwenye siasa za Tanzanai, anatafuta kiki tu na public sympathy.View attachment 3639435
Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop) nyeupe iliyofika nyumbani kwake asubuhi ikiwa na namba za usajili T 318 EQJ, baada ya kufanya uchunguzi na kupiga picha, imebainika kuwa namba hizo ni za kughushi kwani zimesajiliwa kwa ajili ya katapila la kutengenezea barabara na siyo gari hilo.
Japo gari iliyopo kwenye picha ni T 518 EQJ. Hata Tundu mwaka 2017 alianza hivihivi kulalamika.
Angalia picha ya gari lenyewe achana na mambo ya typo error.mara EQA mara EDJ mbona mnapenda kiki?
D na Q zinakaribiana kweli??Angalia picha ya gari lenyewe achana na mambo ya typo error.
Gari ina namba gani hapo kwenye picha au hujaona hiyo picha???D na Q zinakaribiana kweli??
Mkiua tunaua, kaa ukilijua hilomara EQA mara EDJ mbona mnapenda kiki?
Hata hizo namba ni za gredaD na Q zinakaribiana kweli??
ππππππππHata hizo namba ni za greda
Tushachunguza na baadaye kidogo tutakutajia namba halisi ya gari hilo inayoanzia na STNππππππππ
π€«π«΅πhana athari zozote kwenye siasa za Tanzanai, anatafuta kiki tu na public sympathy.
ufisadi wake utaumbuliwa baraka kuu vizuri tu hakuna namna anaweza kuepuka kubanduliwa kwenye nafasi yake
Katambi kawekwa kama boya tu hashirikishwi loloteHivi bado hawachoki na mambo ya kupoteza watu au kuviziana
Nategemea msemaji wa Polisi au Katambi wajitokeze kulisemea hilo maana nalo linahusu usalama wa raia na mali zao
Jizi na lipenda rushwa limeposthana athari zozote kwenye siasa za Tanzanai, anatafuta kiki tu na public sympathy.
ufisadi wake utaumbuliwa baraka kuu vizuri tu hakuna namna anaweza kuepuka kubanduliwa kwenye nafasi yake
ufisadi wa heche upo pale pale gentleman ππ€«π«΅π