Video: Heche adai kufuatiliwa na gari namba T 318 EQJ

Anadai namna feki ni T318 EQJ na halisi ni T518EQJ ;

Hiyo T318 EQJ imetokea wapi? Maana hata ukiangalia picha ya gari ni T518EQJ.
Nadhani ni kuteleza kwa ulimi tu
 
Anadai namna feki ni T318 EQJ na halisi ni T518EQJ ;

Hiyo T318 EQJ imetokea wapi? Maana hata ukiangalia picha ya gari ni T518EQJ.
Well, je hiyo gar ilikua inatafuta nn kwa heche? Maan lissu alilalamika hivi mwaka 2017 mkampuuza matokeo yake mkataka kumuua
 
Wachunguzwe haraka hao!
 
hana athari zozote kwenye siasa za Tanzanai, anatafuta kiki tu na public sympathy.

ufisadi wake utaumbuliwa baraka kuu vizuri tu hakuna namna anaweza kuepuka kubanduliwa kwenye nafasi yake
Acha mzaha basi,kama ni kiki zipo open kwake, alikuwa mbunge na Sasa makamu mwenyekiti,kiki SI automatic Hapo!
 
Serikali ituambie unaruhusiwa kubadili namba kutoka usajili (a) kwenda (b)? bila idhini ya mamlaka husika? kutoka Carter pillar kwenda Land cruiser wauambie umma mmiliki wa hizo namba kinyume na hapo inahusika.
 
Acha mzaha basi,kama ni kiki zipo open kwake, alikuwa mbunge na Sasa makamu mwenyekiti,kiki SI automatic Hapo!
kibaka na tapeli wa kisiasa tu huyo. Sidhani hata kama anakumbukwa ikiwa aliwahi kua mbunge 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…