Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Mungu ibariki Tanzania
 
Ok sawa. Kwanini nyumba ile kwa sasa iko chini ya ulinzi?? Kuna nn hapo?? Nina uhakika humu kuna wana JF wanaotoka mtaa wa Nkuruma watatuwekea ushahidi hapa. Mimi niliongea na mtu jirani na mtaa huo kwa njia ya simu nakunithibitishia hilo. Atakapoweza kupiga picha nitaziweka humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mpaka sasa huamini kama corona ipo? na inaua?,na hatua za kujikinga zimetolewa na serikali,wewe pambana na selikali tuone mwisho wake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kulishwa matango pori na kigogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huoni kuwa hapo ni maeneo ya karibu na Kisutu? Na huyo mtu alikuwa anatembea tu akaanguka akazidiwa akafa hapo hapo.
Nmekuuliza uthibitisho uko wapi?
Au wewe ndio kigogo mwenyewe?

Kwanini mnatumia nguvu sana kuaminisha watu kitu ambacho hakipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lydia ndani Tanzania haijaanza leo wala jana ila kwasasa mtu akifia ndani hata kama siyo Corona wanakwenda kuchukua huo mwili lazima waende wakiwa wamekamilika. Hivyo siyo kila atakayekuwa amefia ndani ni corona inaweza ikawa ugonjwa wowote. Wataalamu wa afya ndiyo watatuambia siyo huo ushaidi wako wa kitecno eti camera ya tecno yako imepima maiti na kusema ni corona. Acheni uongo uliopitiliza na kushabikia ugonjwa Kama mtaji wa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmekuuliza uthibitisho uko wapi?
Au wewe ndio kigogo mwenyewe?

Kwanini mnatumia nguvu sana kuaminisha watu kitu ambacho hakipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu Hapo ni Nkurumah acha kubisha, mimi nipo hapa hapa na tukio limetokea hapa ila hatujajua jamaa kafa kwa ugonjwa gani au kwa Tatizo gani mpaka Madaktari wasibitishe
 
Ni kawaida kunapotokea epidemics or pandemic, any demise by any causes inakuwa handed with maximum medical precautions.
P
Hata mtu akifariki kwa kukwamwa na mfupa wa samaki lazima hali iwe ivyo, taarifa ni muhimu kuliko kutoa conclusions kutokana na kinachoonekana. Ni vyema watu wakasubiri taarifa rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…