Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Basi ngoja mie niendelee kukupuuzaJifunze kuelewa!
Mangula amekuja ili uujue ubaya wa ccm ya kuwa ni sawa na mtego wa panya!
Video itaendelea kua ya ukweli mpaka pale itakapopingwa kwa video yenye anuani.
Sent using Jamii Forums mobile app