Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,601
- 2,354
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona ulivyozuzu?Sioni ukijitofautisha na punguani!
Tuelekeze alipo magula tukamsalimie.
jiheshimu mkuuUlivyoandika hapo mwanzo nikajua utaleta uthibitisho wa huo ukali wako kumbe umeandika tu utopolo.
Mliotoka kijijini na kufikia Sinza au Kimara ni ngumu sana kwenu kuitambua mitaa ya katikati ya Jiji
ameeleweka, hii si lugha yake, inatosha
Wapi proof kwamba hapo ni Bongo?
Kiingereza hujui halafu hiyo video imekuwa manipulated na wahuni ili kuichafua serikali yetu tukufu.
Sio kweli. Video ni ya Tanzania. Angalia hata tangazo la bia ya serengeti, lugha inayozungumzwa, plate number za taxi na hiyo ambulance. Hapo hakuna manipulation.Kiingereza hujui halafu hiyo video imekuwa manipulated na wahuni ili kuichafua serikali yetu tukufu.
Sijui wameokota wapi hiyo video halafu mnawadanganya watu hapo ni Bongo
Jifunze kuelewa!Ona ulivyozuzu?
Mangula hujui nyumbani kwake? Na hapa tunamjadili Mangula au video fake iliyowekwa hapa?
Sasa mkiitwa wapumabvu msikasirike
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtukufu ni Mwenyezi Mungu tu ...... naomba urekebishe hapo ili usiwakwaze wengi !!Kiingereza hujui halafu hiyo video imekuwa manipulated na wahuni ili kuichafua serikali yetu tukufu.
Sijui wameokota wapi hiyo video halafu mnawadanganya watu hapo ni Bongo
Ukweli utajulikana. Angalia CNN sasa hivi wanamlaumu Trump kuwa alipuuza ushauri hata kabla ya kuwa na case mojaKiingereza hujui halafu hiyo video imekuwa manipulated na wahuni ili kuichafua serikali yetu tukufu.
Sijui wameokota wapi hiyo video halafu mnawadanganya watu hapo ni Bongo
kama inatujua,kwanini kila siku inahangaika na kuwafungulia kesi wakina max kwa kukataa kutoa taarifa za baadhi ya member wa jf????Unadhani serikali haitujui kisa fake id?
ha ha atumie kiswahili kwa kweli
Kiingereza hujui halafu hiyo video imekuwa manipulated na wahuni ili kuichafua serikali yetu tukufu.
Sijui wameokota wapi hiyo video halafu mnawadanganya watu hapo ni Bongo
Sio kweli. Video ni ya Tanzania. Angalia hata tangazo la bia ya serengeti, lugha inayozungumzwa, plate number za taxi na hiyo ambulance. Hapo hakuna manipulation.
Ila sina uhakika kama hao wanaookotwa ni sababu ya corona