Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

G sam unatuonaje yani hadi unatuongopea kiwango hiki?
Video ya equador watu walikuwa wanafia makwao na wanaletwa na kuweka bara barani kwa sababu hospitali au wahusika walikuwa hawaji kubeba hizo maiti.
Ila sio kwamba walikuwa wanakufa wakiwa wanatembea.
Ach kutia watu hofu.
Na kule china hukuona picha?
 
Kilichonifurahisha kuliko yote ni hio picha ya gazeti
"Kanisa katoliki lasitisha ndoa"
Nashukuru nimefungua uzi huu ontime.

Sbb ya furaha n nini....?
Jiongeze...

Ila Nilikua naenda kwa wakala asaiv naelekea kiwanja
 
Haka kauzi kananukia jera jera tu na harufu ya magereza,mtoa taarifa, picha na takwinu ni serekali tu
Leo Kuna picha na video zikiwa zimetrend huko WhatsApp na Twitter kuhusiana na maiti iliyochukuliwa Leo na ambulance katika mtaa WA Sophia kawawa katikati mwa jiji la Dar
Tukumbushane na tuelimishane kwa njia ya picha kuhusu janga hili la CORONA COVID19 liloikumba dunia

Mpka sasa hakuna kinga zaidi ya kunawa kwa sabuni,kutumia sanitizer,kuepuka mikusanyiko na kusikiliza maelekezo kutoka kwa wataalam wa afya

Tuwe makini
kufuata maelekezo ya wataalam wa afya na si wanasiasa

Narudia tena
Tuwe makini
kufuata maelekezo ya wataalam wa afya na si wanasiasa

kufuata maelekezo ya wataalam wa afya na si wanasiasa

kufuata maelekezo ya wataalam wa afya na si wanasiasa

Asanteni KaribuniView attachment 1418959View attachment 1418960View attachment 1418961View attachment 1418963View attachment 1418964View attachment 1418965View attachment 1418967

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nashangaa kwanini huu ugonjwa wengine unawachukulia ghafla?,
Hata kule China ilifikia unaona mtu anatembea,minding his/her own business,ghafla huyo kadondoka na haipiti dakika kafa

Mungu atunusuru aisee
 
Hakuna picha inayoweza kuonyesha mtu akidondoka.
Kama clip ipo itume.

Mimi nimeongelea clip ya equador. Jamaa kasema walikuwa wanatembea wanadondoka kitu ambacho sio kweli. Kabalisha kasema Italy sasa na wewe unasema China. Daah.
Na kule china hukuona picha?
 
Pasaka ya kipindi hiki!
_20200411_145433.JPG
 
Hahaha nimecheka, huyo katibu mkuu wizara ya Afya eti kaziba mdomo, pua ziko wazi.
Kichwa cha Habari wananchi wote kuvaa barakoa, ndio hivyo zinavaliwa?!
Daktari wa Magufuli, unaziba mdomo pua ziko wazi!
 
Hakuna picha inayoweza kuonyesha mtu akidondoka.
Kama clip ipo itume.

Mimi nimeongelea clip ya equador. Jamaa kasema walikuwa wanatembea wanadondoka kitu ambacho sio kweli. Kabalisha kasema Italy sasa na wewe unasema China. Daah.
Wee jama kote huko watu walikuwa wanafia njiani. Yani ilikuwa kawaida sana watu kudondoka njiani na wengine wanafia hapo tena ndani ya muda mfupi. Kama huamini basi baki na yako, maana nyie mnaambiwa ukweli mnajitoa fahamu.
 
Watanzania tupunguze ujuaji.
Tusubiri vyombo husika vitatolea maelezo.
NA HATA HIVYO HATA KAMA WATU WAMEKUFA Kwa corona ni kosa?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Tabia yetu pale kwenye tatizo au inatakiwa ukae mbali ndio sisi tunajisogeza. Hiyo social distance sijui kibongo bongo kama tutaiweza
 
Tabia yetu pale kwenye tatizo au inatakiwa ukae mbali ndio sisi tunajisogeza. Hiyo social distance sijui kibongo bongo kama tutaiweza
Ni hawa wananchi hawakupaswa kuweka mkusanyiko wakati maiti inatolewa ndani

Jamani tufuate maelekezo ya wataalam wa afya na wizara kila kitu kinawezekana watanzania tuwe waelewa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia yetu pale kwenye tatizo au inatakiwa ukae mbali ndio sisi tunajisogeza. Hiyo social distance sijui kibongo bongo kama tutaiweza
viongozi wetu wenyewe sosho distance inawashinda, sembuse sisi
 
Back
Top Bottom