Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Kinga ni Bora kuliko tiba-ndio maana l
Kwa sasa kila kona ktk Jiji la Dar kuna ndoo ZA maji ya kunawa ktk kipindi hiki cha corona sio jambo la kushangaza!
Llkn mkuu kule us na Europe maji yapo, mbona wanavurugwa hivyo na corona?
 
Mimi nashangaa kwanini huu ugonjwa wengine unawachukulia ghafla?,
Hata kule China ilifikia unaona mtu anatembea,minding his/her own business,ghafla huyo kadondoka na haipiti dakika kafa

Kwa kifupi Mapafu yanaribika kwa kuvimba... yanashindwa kucontract n.a. relax...Wenye magonjwa kabla ya kupata corona e.g. asthma.. Bp... kifupi organs muhimu zinakosa oxygen... organ failure dakika sufuli chini
 
Mmeshaambiwa stay home

Kama ni kazi muombe likizo hata kama ni wote.
Wadosi wamekimbilia home town kwao na Dodoma kusiko na maambukizi
 
Watz umbeya tunapenda sana!
Tukio kma hilo sio la kuchungulia hajafumaniwa mtu! Duu!..
 
Unatuchanganya mkuu,ni bora ungekaa kimya kwa kuwa taaluma ya fani yako hairuhusu kuwasilisha kitu kisichokuwa na uthibitisho kwa hadhira. Acha sisi tuendelee na speculations zetu,ila kuna kitu nyuma ya pazia ambacho tunafichwa. Taarifa sahihi ni mojawapo ya njia za kupigana na hili janga
Kunapotokea majanga ya kitaifa, media inafanya kazi ya resctive media reporting kwa kuripoti kile tuu kitakacho tangazwa rasmi na Serikali, hata ikitokea kuwa ni kweli kuna watu mahospitalini na majumbani wanakufa kwa Corona, hairuhusiwi kutangaza, sio kwa lengo la kuficha bali ni control measures kuzuia panic, na miss information.
P
 
Je ni kweli Aga Khan pia inalaza wagonjwa wa corona baada ya mloganzira kujaa?
 
Back
Top Bottom