we learn through mistakes!Sasa Kama sio lugha yake kipi kimemfanya aikimbilie? Mnalea ujinga halafu unamkingia kifua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we learn through mistakes!Sasa Kama sio lugha yake kipi kimemfanya aikimbilie? Mnalea ujinga halafu unamkingia kifua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Llkn mkuu kule us na Europe maji yapo, mbona wanavurugwa hivyo na corona?Kinga ni Bora kuliko tiba-ndio maana l
Kwa sasa kila kona ktk Jiji la Dar kuna ndoo ZA maji ya kunawa ktk kipindi hiki cha corona sio jambo la kushangaza!
Mimi nashangaa kwanini huu ugonjwa wengine unawachukulia ghafla?,
Hata kule China ilifikia unaona mtu anatembea,minding his/her own business,ghafla huyo kadondoka na haipiti dakika kafa
Kaa huko huko usituletee matatizo ushago.Sijui nirudi kijijini?
Ahahahh,dah nacheka kama mazuri vilePasaka ya kipindi hiki! View attachment 1418980
Daaah jamaa hujaona hata bango la Serengeti lite a see, umeniangusha sanaWapi proof kwamba hapo ni Bongo?
Wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia na watoto!
Ndio bangi yako ilivyokutuma?Sio "Taharifa" ni "Taarifa" nzi wa kijani wewe
Swali la kipuuzi hili
Wengi wamehalibu mapafu yao kwa sigara na pombeLlkn mkuu kule us na Europe maji yapo, mbona wanavurugwa hivyo na corona?
Tz TCC na TBL ndo walipa kodi no moja.Wengi wamehalibu mapafu yao kwa sigara na pombe
Bila kusahau china
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hakuna kuomba Mungu hapo.
Hata wewe kaa lockdown, hizuiwiYeye yuko zake lockdown huko chato wengine pigeni kazi![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Marehemu hajafa kwa korona.Hivi umeelewa hata mtpa maada anamaanisha nini? Mbna watu mnakurupuka sana?
Kunapotokea majanga ya kitaifa, media inafanya kazi ya resctive media reporting kwa kuripoti kile tuu kitakacho tangazwa rasmi na Serikali, hata ikitokea kuwa ni kweli kuna watu mahospitalini na majumbani wanakufa kwa Corona, hairuhusiwi kutangaza, sio kwa lengo la kuficha bali ni control measures kuzuia panic, na miss information.Unatuchanganya mkuu,ni bora ungekaa kimya kwa kuwa taaluma ya fani yako hairuhusu kuwasilisha kitu kisichokuwa na uthibitisho kwa hadhira. Acha sisi tuendelee na speculations zetu,ila kuna kitu nyuma ya pazia ambacho tunafichwa. Taarifa sahihi ni mojawapo ya njia za kupigana na hili janga
Je ni kweli Aga Khan pia inalaza wagonjwa wa corona baada ya mloganzira kujaa?Kunapotokea majanga ya kitaifa, media inafanya kazi ya resctive media reporting kwa kuripoti kile tuu kitakacho tangazwa rasmi na Serikali, hata ikitokea kuwa ni kweli kuna watu mahospitalini na majumbani wanakufa kwa Corona, hairuhusiwi kutangaza, sio kwa lengo la kuficha bali ni control measures kuzuia panic, na miss information.
P