Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
Nimeamini jeshi ni nidhamu. Hao maofisa walitii na kweli wakatoka nje ila siamini kama walitoka kwa sababu ya kauli ya KL ila walitoka kwa sababu nidhamu ya utii ambayo walianza nayo toka wakifundwa.
Sipati picha ungekuwa ni umoja wa wakulima sasa mwenyekiti anataka waliochelewa warudi, nadhani patashika ingetokea hapo.
kwani kafariki mkuu..? teh teh ee.. hatari sana!
So what the https://jamii.app/JFUserGuide are you talking about?Hasa Mbowe anapaswa afundishwe kuheshimu Katiba na Madaraka!
Waacheni wafu wawazike wafu wenzao.....Pole sana Lugola. Hii nchi siyo ya mwalimu na mwanafunzi wake. Ni ya watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Dj ndio mwisho wake utakua mbayaHata Jiwe nae mwisho wake utakuwa mbaya tu!!
Mmh! Sio kufurahisha kweli ?inasikitisha mno !
ndio kilichotokeaWewe ni Professional sasa inafikia hatua unaongozwa na mbumbumbu asiyejua kitu...hizi positions za kisiasa nyingi huwa ni majanga!!
Ukiwa na cheo kitumikie inavyostahili bila kumuogopa mtu wala kumuonea. Ukiogopa kuchukua hatua stahili, jambo sahihi, kwa wakati sahihi na kwa mtu sahihi kiss unaogopa eti cheo ni dhamana, huna sababu ya kukipata hata hicho cheo.Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
ujumbe wako umfikie Mwenyekiti wa ccmUkiwa na cheo kitumikie inavyostahili bila kumuogopa mtu wala kumuonea. Ukiogopa kuchukua hatua stahili, jambo sahihi, kwa wakati sahihi na kwa mtu sahihi kiss unaogopa eti cheo ni dhamana, huna sababu ya kukipata hata hicho cheo.
Huyo vizuri.ujumbe wako umfikie Mwenyekiti wa ccm
Anaweza samehe mkashangaa watu.Haya maneno ayasubiri Bashite katika utawala wa Rais Tundu Lissu
ongeza ubuyu kidogo kwenye suala la Mwai kibakiJiwe ndiyo anatia huruma zaidi! lkn si ajabu KL akaukwaa Urais one day! km Mwai kibaki alivo dhalilishwa na Moi.
Huyo kangi anaweza akamrishwa na bw mdg Ndani huko..... "we mzee leta ndoo ya maji"[emoji41][emoji41][emoji41]Hao maafisa si bado wapo! Wamsubiri punde anaenda huko. Na sipati picha ikiwa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app