Hivi vyeo vya kupewa hivi ni hatari. Hata hao wakuu wa vyombo nao ni vyeo vya kupewa wanafanya hayo hayo huko maofsini kwao.Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili

Ukiweka chuki pembeni. Kangi alikuwa sahihi na video itumiwe kuwaelimisha watanzania waelewe maana ya kuheshimu MudaBado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Hii inanikumbusha Mwiguru na RwakatareSiku hizi Mwigulu ameacha kuvaa zile skafu zake za bendera na huyu ataacha kuvaa mashati yake yenye michoro ya bendera
Ni nchi ya Tanzania tu mtu anaweza kuamka asubuhi na kuwaambiwa wengine: ''Mnaona jua limetoka tena leo kama nilivyotabiri jana''. Na watu wakampigia makofi eti ni genius! Haya mambo yalishasemwa sana tangu enzi za mwalimu Nyerere. ''Cheo ni dhamana''. Mlikuwa hamjajifunza tu mpaka mje muone ni kitu cha kujifunza leo? Hapa hakuna la kujifunza bali ni ukweli umefanya kazi yake.Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Tunakumbushana tu kama vile mahubiri ya makanisa kuhusu dhambi zilezile miaka nenda rudiNi nchi ya Tanzania tu mtu anaweza kuamka asubuhi na kuwaambiwa wengine: ''Mnaona jua limetoka tena leo kama nilivyotabiri jana''. Na watu wakampigia makofi eti ni genius! Haya mambo yalishasemwa sana tangu enzi za mwalimu Nyerere. ''Cheo ni dhamana''. Mlikuwa hamjajifunza tu mpaka mje muone ni kitu cha kujifunza leo? Hapa hakuna la kujifunza bali ni ukweli umefanya kazi yake.
Kwa akili yako unajiona unafit hapa JF ?!, naona kama umekosea njia, kule Fb ndio panakufaa weweSina hakika we ni under 18,humu huwa tunaenda kwa hoja....si kupanic....kama una njaa njoo na familia yako mpate chakula.. next time uache kuropoka ovyo...ongea hoja.
Hasa Mbowe anapaswa afundishwe kuheshimu Katiba na Madaraka!
Jamaa jinga sana lileBado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
View attachment 1335233
πππJamaa jinga sana lile
Hivi vyeo vya kupewa hivi ni hatari. Hata hao wakuu wa vyombo nao ni vyeo vya kupewa wanafanya hayo hayo huko maofsini kwao.Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Haaaa haaaa unajua kilichofata? Maofisa wLikuwa wanamdharau balaaNimeamini jeshi ni nidhamu. Hao maofisa walitii na kweli wakatoka nje ila siamini kama walitoka kwa sababu ya kauli ya KL ila walitoka kwa sababu nidhamu ya utii ambayo walianza nayo toka wakifundwa.
Sipati picha ungekuwa ni umoja wa wakulima sasa mwenyekiti anataka waliochelewa warudi, nadhani patashika ingetokea hapo.