Video hii ya Kangi Lugola inatukumbusha kwamba madaraka ni dhamana ya Muda mfupi sana, Napendekeza itumike mashuleni kufundishia

Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .

Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Hivi vyeo vya kupewa hivi ni hatari. Hata hao wakuu wa vyombo nao ni vyeo vya kupewa wanafanya hayo hayo huko maofsini kwao.
 
Ukiweka chuki pembeni. Kangi alikuwa sahihi na video itumiwe kuwaelimisha watanzania waelewe maana ya kuheshimu Muda
 
Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .

Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Ni nchi ya Tanzania tu mtu anaweza kuamka asubuhi na kuwaambiwa wengine: ''Mnaona jua limetoka tena leo kama nilivyotabiri jana''. Na watu wakampigia makofi eti ni genius! Haya mambo yalishasemwa sana tangu enzi za mwalimu Nyerere. ''Cheo ni dhamana''. Mlikuwa hamjajifunza tu mpaka mje muone ni kitu cha kujifunza leo? Hapa hakuna la kujifunza bali ni ukweli umefanya kazi yake.
 
Kwangu mimi kiongozi yeyote hanibabaishi kwa sababu najua vyeo ni vitu vya mpito tuuu tena vya muda mfupi sana, kuwatumikia watu kwa kuheshiamiana na kuvumiliana ni kitu kikubwa sana maishani mwangu.
 
Ni nchi ya Tanzania tu mtu anaweza kuamka asubuhi na kuwaambiwa wengine: ''Mnaona jua limetoka tena leo kama nilivyotabiri jana''. Na watu wakampigia makofi eti ni genius! Haya mambo yalishasemwa sana tangu enzi za mwalimu Nyerere. ''Cheo ni dhamana''. Mlikuwa hamjajifunza tu mpaka mje muone ni kitu cha kujifunza leo? Hapa hakuna la kujifunza bali ni ukweli umefanya kazi yake.
Tunakumbushana tu kama vile mahubiri ya makanisa kuhusu dhambi zilezile miaka nenda rudi
 
Sina hakika we ni under 18,humu huwa tunaenda kwa hoja....si kupanic....kama una njaa njoo na familia yako mpate chakula.. next time uache kuropoka ovyo...ongea hoja.
Kwa akili yako unajiona unafit hapa JF ?!, naona kama umekosea njia, kule Fb ndio panakufaa wewe
 
Kangi ajilaumu mwenyewe kushindwa kwake kutambua kuwa cheo na vitu vingine ni dhamana. Pale Sengerema Secondary aliposoma, na ambapo Magufuli alifundisha, kulikuwa na wimbo ambao maudhui yake yangemfaa leo, pengine alikuwa mtoro wa parade enzi hizo hivyo hakuwa akishiriki kuuimba wimbo huo.

Part of that School song ilisema;
" 🎼 ...kuandaa wataalamu,
Tunaahidi kwa pamoja kulinda kauli yetu
 
Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .

Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Hivi vyeo vya kupewa hivi ni hatari. Hata hao wakuu wa vyombo nao ni vyeo vya kupewa wanafanya hayo hayo huko maofsini kwao.
 
Nimeamini jeshi ni nidhamu. Hao maofisa walitii na kweli wakatoka nje ila siamini kama walitoka kwa sababu ya kauli ya KL ila walitoka kwa sababu nidhamu ya utii ambayo walianza nayo toka wakifundwa.

Sipati picha ungekuwa ni umoja wa wakulima sasa mwenyekiti anataka waliochelewa warudi, nadhani patashika ingetokea hapo.
Haaaa haaaa unajua kilichofata? Maofisa wLikuwa wanamdharau balaa
 
Miezi takriban 18 iliyopita Kangi Lugola alimdhalilisha mkuu wa magereza na team yake mbele ya kamera na waandishi wa habari. Wiki hii Kangi Lugola atakua mgeni wa team ile ile aliyoidhalilisha.
ITAENDELEA......
 
Yeah..maisha ni shule..tuendelee kujifunza kwenye kila siku iitwayo leo
 
Back
Top Bottom