VIDEO: Hili lilimshinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hata Magufuli. Rais Samia apongezwe

1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
 
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Akili ndo huna.
 
Sa100 hajaanzisha project yoyote!
Kaikuta iko zaidi ya 50% ya utekelezaji, tuache uongo.
 
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Upumbavu tupu, mwambie kabakiza miezi 10!arudi Kizimkazi akalee wajukuu.

Mwakani Rais atakuwa mwanaume Mkristu, kuhusu chama sio issue lakini Samia hapana!!!

Hatuwezi kuwa na kiongozi failure kama huyu Mama Abdul,serikali wizi, ufisadi, kuuza rasilimali za nchi yetu Tanzania kama vile Bandari za BARA na Mbuga za Wanyama, ....inatosha SAA💯 Must go 2025 to Kizimkazi 🤔🤔🤔
 
Dua la kuku...,..........
 
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Mradi wa Samia?

Ka chawa 😂😂
 
Yeye alifanya lipi?
Kwani kila kitu kinacho wapa sifa awamu ya 6 nani kakianzisha? Hata uzi hu unajua unazunhumzia nini? Baba Jessica alikua mzalendo wa nchi yake, hatukusikia kama yupo busy na utoroshaji wa fedha ili akafiche kwenye account za nje ya nchi, alikaa hapa hapa, kila siku alikua anakuja na hoja mpya itakayo isaidia Tanzania.
Hata wapinzania, ukiwasikiliza between the line, wanamkosoa Magufuli kwa kitu kimoja tu, DEMOKRASIA. Magufuli hakua mwamini wa demokrasia, hilo tu.
 
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Chanzo cha yote ni JPM
 
Lakini hebu tuwe wakweli mtu kachukua mradi ukiwa 35%,

Hivi unajua hii hata nusu ya Mradi ilikuwa bado?
Unashindwa nini kuelewa hapo mkuu, hiyo 35% kumbuka inaanzia kwenye uthubutu na pia kumbuka mwanzo huwa ni mgumu kuliko kumalizia. Kwa hiyo Kongole inamuhusu yule aliyeanzisha.
 
Kibaya chajitembeza kizuri Chajiuza..., pamoja na hayo huwa napenda kuuliza kila siku..., Iwapo kina Nyerere na Makusanyo madogo kuliko sasa..., Nguvu Kazi Chache waliweza angalau kuwapa watu basic needs na kuhakikisha kila mwenye ujuzi anapata ajira zenye ujira..., Sasa hivi huduma zimepungua kwanini Kodi / Mikamuano haipungui ?!!!

By the way suala la Umeme ni affordability sasa kama ukiwepo alafu watu hawawezi kuutumia kupikia sababu ya gharama na bado tunakataza watu kutumia Kuni ili tuuze gesi toka ughaibuni nadhani hapo viongozi na watunga Sera wanahitaji matusi na sio Pongezi....
 
Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
Shika rungu vizuri mkuu bado anatikisa vidole pigaaa kichwani
 
Lakini hebu tuwe wakweli mtu kachukua mradi ukiwa 35%,

Hivi unajua hii hata nusu ya Mradi ilikuwa bado?
Kwa hiyo amekuwa engineer kwenye project, kakuta kila kitu kinaendelea na wala hajahitajika kufanya lolote. Hata angesimama mwehu pembeni kama msimamizi project ingeendelea tu bila shida yoyote.
Hakuna lolote alilofanya hapo.
 
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Sija imaliza hii video

Ila kwa ufupi slogan ya mama ni KAZI IENDELEE sasa huku kusifia bila mipaka una shusha brand
 
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.​

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Moja, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakuwa na wajomba waarabu.

Pili, hao waliomtangulia Samia hawakuwa na wigo wa serikali kupata mapato alionao Samia sasa. Leo hii ukilinganisha hela aliyokuwa nayo Nyerere kwa ajili ya miradi ya maendeleo huenda ni 15% ya hela aliyonayo Samia.

Fikiria miradi michache tu ya Nyerere katika hali duni ya uchumi enzi hizo; TAZARA, bomba la mafuta kwenda Zambia, Nyumba za national housing nchi nzima, Barabara ya Tanzam kwenda Zambia, Mpango wa elimu ya msingi kwa watoto wote UPE; Mtera Dam, Chuo Kikuu cha DSM, Chuo Kikuu cha Sokoine, Mzumbe IDM, Chuo Cha Ardhi, Vyuo vya Elimu kama Chang'ombe, Tabora nk; IFM Dar, Vyuon vya Kilimo; vyuo utabibu; Shirika la Elimu Kibaha; Shirika la Ndege ATC, Shirika la Reli TRC; elimu bure hadi Chuo Kikuu; matibabu bure kwa watanzania wote; bomba za maji za jumuia bure (gati); wanafunzi kula bure shuleni na kusafiri bure kwenda likizo hadi Chuo Kikuu; serikali kumudu gharama za wote wanaostahili kwenda JKT kwa kujitolea au mujibu wa sheria, Kila Mbunge kupewa gari ya serikali, kumudu gharama za vita ya Kagera; Kumudu gharama za kusaidi Ukombozi wa Afrika, nk. Sasa bado unataka kusema hakufanya kitu japo yote haya kwa zile fedha ndogo alizokuwa nazo?

Na ukitaka kujua kwamba Nyerere bado angemzidi sana Samia, leo hii katika mapatao tunayopata kama nchi, mweke Nyerere kama raisi wa nchi ndio ungefikiria tungekuwa wapi, ukitambua kwamba karibu 40% ya mapato ya nchi inapotelea kwenye mifuko ya viongozi kwa ufisadi.

Na kabla hujamsifia sana Samia kwa miradi, kumbuka utekelezaji huo wa miradi ni deni la taifa, na jiulize tumefikia wapi kwenye deni la taifa, na linganisha na Nyerere kama yale aliyofanya yaliathiri vipi deni la taifa. Kwani wewe nikikupopesha shilingi Bilioni mia moja, utashindwa kujenga vituo kumi vya afya ili watu wakusifie unapiga mwingi?

Badala ya kuwasifia wananchi kwa uvumilivu kutokana na mzigo wa kodi wanazotozwa na deni la taifa wanalotwishwa, unamsifia mtu ambae anatumia hizo kodi na fedha zao eti ana miradi mingi. Samia anatoa hizo fedha kwenye biashara ya familia yake? Hatuna tatizo kama mmeamua kuwa chawa, lakini msiwe chawa wajinga wa kulinganisha Samia na watu kama kina Nyerere. Miradi aliyofanya Nyerere ndani ya miaka 23 ya utawala wake kwa fedha aliyonayo, Samia hataiweza kwa fedha aliyonayo hata ukimpa miaka 30.

Na ukikumbuka kwamba Abdul Suluhu na Makongoro Nyerere wote wana sifa ya kuwa watoto wa raisi, utanielewa sana.
 
Back
Top Bottom