McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa jimbo hilo ni Catherine Ruge.
Chopa hiyo ilikuwa na Mwenyekiti wa chama Hashim Rungwe, Kaimu Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Devotha Minja, Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu na Mwandishi wa Jambo TV Ramadhan Ally