PreGE2025 Video: Hivi ndivyo Helikopta ya CHAUMMA ilivyotua Serengeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa jimbo hilo ni Catherine Ruge.

Chopa hiyo ilikuwa na Mwenyekiti wa chama Hashim Rungwe, Kaimu Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Devotha Minja, Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu na Mwandishi wa Jambo TV Ramadhan Ally

Mzee Rungwe ndani ya chopper.Chaumma inaimarika
 
Wanabezwa kwa uchache wao, Lakini wapo!

Hata Mpira unaweza kuwa unaongoza kwa goli kadhaa Hadi dakika 80, ukatokea upepo kwa dk 10 ukabaki unashangaa.

Usimdharau usiyemjua.
Kuna siku PSG ilikuwa imefungwa goli 2 na timu nimeisahau,Hadi dakika ya 65,nikakata tamaa na ku cash out japo niambulie hata ya supu,,kipindi Cha michezo nasikia PSG wameshinda 4-2😂,it is not over untill it is over
 
Hivi ukiwa mwanasiasa lazima uwe huna aibu?
Yaani hakuna watu halafu unawashukuru kwa umati mkubwa uliojitokeza!
Mzee kwani nini maana ya mwehu?ukijua maana yake Wala husumbuki na yanayosemwa na chaumaccm.
 
Failed Project...Embezzlement of Public Funds...huko ni kanda ya Serengeti kwa akina Ruge Cathy watu wameamka
 
Rugwe haamini kinachotokea.
Kuna la kujifunza mafaniko yanaweza kupatikana hata uzeeeni au dakika za mwisho kabisa wakati wengine wamekata tamaa.
sana tu usikate tamaa kuna siku nitatoa historia yangu pengine utashangaa zaidi
 
Wakuu,

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa jimbo hilo ni Catherine Ruge.

Chopa hiyo ilikuwa na Mwenyekiti wa chama Hashim Rungwe, Kaimu Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Devotha Minja, Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu na Mwandishi wa Jambo TV Ramadhan Ally

Mbowe na ccm wanadharau watanzania sana. Mbowe anafikiri watu walikuwa chadema kwasababu alikuwa anatembea na helicopter kwenye mikotano. Sasa amewaelekeza chauma kutumia helicopter ili watu wahamie chauma kwasababu ya helicopter.
 
Wakuu,

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa jimbo hilo ni Catherine Ruge.

Chopa hiyo ilikuwa na Mwenyekiti wa chama Hashim Rungwe, Kaimu Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Devotha Minja, Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu na Mwandishi wa Jambo TV Ramadhan Ally

Sasa ilikuwaje pamoja na kusafiri kwa chopa lakinini akaishiwa kulazwa KCMC kwa uchovu! Humo ndani ya chopa walikuwa wakikanyaga pedeli izungurushe mapangaboi ili iruke?.
 
Upupu mtupu! hawa chauma ni watu wa kupuuza na kudharauliwa hadi na JIWE AMBALO HALIZUNGUMZI!
 
Mbuyu ulianza km mchicha, subiri bwanamdogo ht hiyo chadema ilikuwa chama dogo sn iliyokuwa inadharaulika mwaka wa 1995 na 2000 ht haikumsimamisha mgombea urais
Zito Kabwe naye alianza na mbwembwe hizi hizi 2015, akasimamisha wagombea wa nafasi zote nchi nzima. Leo hii anapumilia mashine ya wapemba. Chauma wameamua kuondoka na swaga zote za cdm, lakini nyomi zimegoma.
 
Back
Top Bottom