Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Hivi Hashimu ni majina yenye asili ya wapi?
Kwa hiyo hapa unamaanisha, 'mdharau unayemjua'!Wanabezwa kwa uchache wao, Lakini wapo!
Hata Mpira unaweza kuwa unaongoza kwa goli kadhaa Hadi dakika 80, ukatokea upepo kwa dk 10 ukabaki unashangaa.
Usimdharau usiyemjua.
R buni.Hivi Hashimu ni majina yenye asili ya wapi?
Mbuyu ulianza km mchicha, subiri bwanamdogo ht hiyo chadema ilikuwa chama dogo sn iliyokuwa inadharaulika mwaka wa 1995 na 2000 ht haikumsimamisha mgombea uraisHivi ukiwa mwanasiasa lazima uwe huna aibu?
Yaani hakuna watu halafu unawashukuru kwa umati mkubwa uliojitokeza!
We mwenyewe ndio upupu, we ni msemaji wa watu wa Serengeti? Tuliza makalio we nyumbuSisi watu wa mugumu serengeti ni watu very smart hatuwezi shabikia upupu huu wa akina chauma
Na Naomi laoWakuu,
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa jimbo hilo ni Catherine Ruge.
Chopa hiyo ilikuwa na Mwenyekiti wa chama Hashim Rungwe, Kaimu Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Devotha Minja, Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu na Mwandishi wa Jambo TV Ramadhan Ally
Public fund imefikaje hapo chadomo roho inawauma ila ndio hivyo chadomo imeshagawanyikaIdiots mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe. Wastage of public funds.
Roma haikujengwa kwa siku moja. Chululu si ndondondo! One day yesHivi ukiwa mwanasiasa lazima uwe huna aibu?
Yaani hakuna watu halafu unawashukuru kwa umati mkubwa uliojitokeza!
Nimekaa paleWanabezwa kwa uchache wao, Lakini wapo!
Hata Mpira unaweza kuwa unaongoza kwa goli kadhaa Hadi dakika 80, ukatokea upepo kwa dk 10 ukabaki unashangaa.
Usimdharau usiyemjua.
Teteteh ndugu umenuna,kamwabie mama ako atulize makalioWe mwenyewe ndio upupu, we ni msemaji wa watu wa Serengeti? Tuliza makalio we nyumbu
Huyu mama huyu mama! Time will tell!Idiots mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe. Wastage of public funds.
Rungwe mfanyabiashara mahiri sanaRugwe haamini kinachotokea.
Kuna la kujifunza mafaniko yanaweza kupatikana hata uzeeeni au dakika za mwisho kabisa wakati wengine wamekata tamaa.
Ni suala la kuthubutu na kuwa na muendelezo na unachokiaminiRugwe haamini kinachotokea.
Kuna la kujifunza mafaniko yanaweza kupatikana hata uzeeeni au dakika za mwisho kabisa wakati wengine wamekata tamaa.