That is nonsense! watu wapo uwanjani?Wakuu,
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa jimbo hilo ni Catherine Ruge.
Chopa hiyo ilikuwa na Mwenyekiti wa chama Hashim Rungwe, Kaimu Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Devotha Minja, Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu na Mwandishi wa Jambo TV Ramadhan Ally
Maagizo haya ni ya muda tuWakuu,

Kumbe ndiyo maana watoto wadogo wa shule wamejazana kwenye kuangalia Helcopter!Hivi ukiwa mwanasiasa lazima uwe huna aibu?
Yaani hakuna watu halafu unawashukuru kwa umati mkubwa uliojitokeza!
Wamepata wp mabulungutu ya ghafla namna hii?Wakuu,
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa jimbo hilo ni Catherine Ruge.
Chopa hiyo ilikuwa na Mwenyekiti wa chama Hashim Rungwe, Kaimu Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Devotha Minja, Katibu Mkuu wa chama hicho Salum Mwalimu na Mwandishi wa Jambo TV Ramadhan Ally
Wakuu,

INCOMPATIBLE EXAMPLES/ANALOGIESWanabezwa kwa uchache wao, Lakini wapo!
Hata Mpira unaweza kuwa unaongoza kwa goli kadhaa Hadi dakika 80, ukatokea upepo kwa dk 10 ukabaki unashangaa.
Usimdharau usiyemjua.